Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

Biashara ya viatu inaweza kukutajirisha

wanakata karume ila duu ni bei juu me nilitoka arusha nikavifata dar nilijuta kwanza inatakiwa sa 10 usiku umeshafika viatu viko moshi tena bei ni nzur kuliko dar japo mzigo wanachukua dar na nairobi
Mkuu hapo Memo mnachukua kwa bei ya jumla au rejareja. Wakati tunasoma tulikuwa tunatoroka kwenda kununua code kali za bei nafuu sana.
 
Viatu vinalipa kweli kama una mtaj hata wa m1 baada ya mwaka unaweza kuwa na mtaj mkubwa sana .me nina biashara nyigine lkn baada ya vyuma kukaza. niliweka kimeza nje ya frem nikaanza na mtaji wa elf 70 nafata moshi naleta arusha vya mtumba. kuna kiatu unanunua elfu 5 kikiwa kichafu ukiosha unauza elf 20, kwa sasa mpaka natamani nihachie frem nibaki nje maana sikosi faida elfu 20 mpaka 30 kwa siku.View attachment 1583207View attachment 1583208View attachment 1583210View attachment 1583211View attachment 1583214View attachment 1583216
Mkuu samahani niulize hiyo Vans umenunua kiasi gani na unauza kiasi gani
Kyawanjubu
 
Back
Top Bottom