Biashara ya viazi mviringo

Naomba mawasiliano yako
 
Naomba mawasiliano yako
 
Mkuu ulifanikiwa katika hili? na je bado unaendelea.... Naomba msaada wako kwani na mimi nataka kufanya hii kitu. Asante
 
Tatzo la wabongo kila mtu atakimbilia viaz mwisho wa siku inakuwa kama nyanya znaozea shambani
 
PM namba yako pls
 
Ni pm namba yako
 
Upo mbeya sehem gan
...
.nataka kuanza kulima kiaz
 
Wakuu habari zenu,

Mimi ni kijana mwenye nia ya kufanya biashara ya viazi mviringo lakini sina uzoefu kabisa wala sijui nianze vipi.

Naombeni ushirikiano kama wewe ni mfanyabiashara hii naomba msaada wako mimi naishi Mbeya Forest ya zamani.
 
Biashara Hiyo ni nzuri sana sehemu vinakopatikana viazi sana ni Mbeya, Njombe, Lushoto. Na masoko ni maeneo ya Dar, Dodoma, Mwanza, Kahama, Tabora , Lindi, Mtwara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…