Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

YAANI HAPO KWENYE DALADALA NDUGU YANGU NIPASUA KICHWA BORA UFANYE BIASHARA YA HARDWARE TU ILA KAMA UNAPENDA DALADALA NA ULISHAANZA ENDELEA TU HALAFU UJE UNIPE MREJESHO
YAANI HAPO KWENYE DALADALA NDUGU YANGU NIPASUA KICHWA BORA UFANYE BIASHARA YA HARDWARE TU ILA KAMA UNAPENDA DALADALA NA ULISHAANZA ENDELEA TU HALAFU UJE UNIPE MREJESHO

Bado nakusanya mawazo ya wadau mbalimbali mkuu ndo niamue nisije nikafanya maamuzi ambayo sio sahihi. Napata ushauri kwanza kutoka kwenu wadau
 
Fanya ulilokuwa una uzoefu nalo ama una elimu kidogo nalo. Mbali ya kipi chenye fursa zaidi.
 
Bado sijaamua mkuu ila kuna mkuu ameuliza kama naijua vizuri gari ndo maana nikamjibu hivo kwamba gari naijua vizuri.
Kaa langoni.....daladala itakufaa!...hakikisha unakuwa konda mwenyewe kama ulivyosema
 
Daladala kwa mkoa gani? Utafanikiwa zadi kwenye daladala kama ulivyo panga kuwa wewe Konda. Kila siku watu wanapanda daladala
 
Mkuu biashara ya hardware inatakiwa uwe na mtaji kiasi gani cha mtaji ndo uanze?
 
Mkuu Isack.

Naona Daladala kama pasua kichwa. Siku hiz kuna hii mikeka ya road ni balaaa.

Fanya hardware hata mzunguko ni mdogo lakini utasonga mbele.

Au kama unapenda 55 usianze na moja mkuu.
 
Tuko pamoja. Umepanga kuanza na daladala aina gani, coaster, dcm or? Na ni njia ipi umepanga kutumia!!..ili ukiwa konda, basi mimi niwe dereva wako! Hahahaa..joking
Tuko pamoja. Umepanga kuanza na daladala aina gani,coaster,dcm or??...na ni njia ipi umepanga kutumia!! Ili ukiwa konda, basi mimi niwe dereva wako!!hahahaa. Joking


Hahah haina noma mkuu. Daladala kwa mkoa wa dar. route BUNJU-K/KOO
 
Mkuu Isack. .
Naona Daladala kama pasua kichwa. Siku hiz kuna hii mikeka ya road ni balaaa.
Fanya hardware hata mzunguko ni mdogo lakini utasonga mbele.
Au kama unapenda 55 usianze na moja mkuu.

Ubarikiwe sana mkuu kwa ushauri.
 
Wakuu, naombeni mawazo yenu.

Nataka kuwa Wakala wa kuuza Cement, ila sijaamua nijiunga na Kampuni gani hasa, naombeni kujua kampuni ipi ni nzuri, criteria za kuwa Wakala, na taarifa nyingine zozote zitakazonisaidia, natanguliza shukrani saaana. ni Wakala wa kuuza Cement.

Asanteni
 
Uwe na Capital kubwa kidogo mkuu kuna rafiki yangu yeye dangote walimfata mwenyewe sasa sijajua Location ulipo pakoje mana yeye Yupo Kijijini kidogo.
 
Uwe na Capital kubwa kidogo mkuu kuna rafiki yangu yeye dangote walimfata mwenyewe sasa sijajua Location ulipo pakoje mana yeye Yupo Kijijini kidogo
Duh na Mimi ni kijijjni! Naomba uniunganishe nae kama hutojali
 
Well explained....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…