Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 13,998
- 31,757
Mkuu kuna kitu unaweza kusema kwa kuwa unaona ni kawaidaHaha, et niwe mkweli,, ok kuna Dangote, Lake cement wazalishaj wa Nyati cement, Twiga cement huyu anapga zaid ya tani laki 1 kwa mwezi.
Ukihitaji mzigo karibu.
20,000 kama inavyouzwa Bukoba.Hapa bongo cement kwa dar ni 13,500 kwa 14, 000.huko mtawauzia bei gani?
Duuuh umenikumbusha kitu viwanda vya Tanzania havina uwezo wa kusambaza hiyo saruji nchi jirani kwa kiwango hicho
Mpaka sasa hakuna kiwanda kinacho zalisha tani elf moja kwa siku sasa unajiuliza tu kwa mahitaji ya ndani tu haitoshi sasa huko nje tutapeleka nini
Gharama za uzalishaji saruji ni kubwa mno kuliko Nchi za jirani ie Kenya
esther mashiker ni mbinu gani utaitumia ili Mrundi anunue simenti ya Tanzania akaacha ya Pakistan?
esther mashiker umetumwa na unatumika, ondoa akili zako kwenye rasta, zirudishe kwenye ubongo
Mbona unachukia kusikia mema ya nchi?
Samahani mkuu naomba nikuweke sawa hapo..
Dangote Cement anazarisha 6000tone/day, Tanga Cement anazarisha 4000tone/day, Twiga Cement anazarisha zaidi ya 1500/day, Mbeya Cement around 1000tone/day..
Kwa uzarishaji nafikiri tunazarisha nyingi kuliko nchi yeyote East Africa nafikiri tatizo kubwa la kuzingatia kuna mchangiaji hapo juu ameelezea ni Gharama za uzarishaji zinazopelekea bei kuwa juu kuliko imported cement inayotoka pakistani na India. Ni vyema wenye mamlaka na maamuzi wakajaribu kupitia gharama za uendeshaji hivi viwanda ili kuvipunguzia mzigo vizarishe zaidi na kuuza cement kwa bei ya chini, pia tuboreshe hizi reli za mipakani ili kurahisisha cement kufika kwa haraka na nafuu mipakani.. Tuwawezeshe wafanyabiashara wa Kitanzania wafungue madepot ya Cement kwenye nchi kama Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC, Eritrea, Djibout, Comoro kupitia bahari tuweze kufikisha cement huko kirahisi ili viwanda vyetu viweze kufanya kazi na kuajiri watu wetu maelfu na kulipa kodi nyingi..
Bujibuji ukisema gharama za uzalishaji ni nyingi unamaanisha gharama za umeme na tozo za viwanda, kodi na gharama za kupata mali ghafiGharama za uzalishaji saruji ni kubwa mno kuliko Nchi za jirani ie Kenya
esther mashiker ni mbinu gani utaitumia ili Mrundi anunue simenti ya Tanzania akaacha ya Pakistan?
esther mashiker umetumwa na unatumika, ondoa akili zako kwenye rasta, zirudishe kwenye ubongo
Samahani mkuu naomba nikuweke sawa hapo..
Dangote Cement anazarisha 6000tone/day, Tanga Cement anazarisha 4000tone/day, Twiga Cement anazarisha zaidi ya 1500/day, Mbeya Cement around 1000tone/day..
Kwa uzarishaji nafikiri tunazarisha nyingi kuliko nchi yeyote East Africa nafikiri tatizo kubwa la kuzingatia kuna mchangiaji hapo juu ameelezea ni Gharama za uzarishaji zinazopelekea bei kuwa juu kuliko imported cement inayotoka pakistani na India. Ni vyema wenye mamlaka na maamuzi wakajaribu kupitia gharama za uendeshaji hivi viwanda ili kuvipunguzia mzigo vizarishe zaidi na kuuza cement kwa bei ya chini, pia tuboreshe hizi reli za mipakani ili kurahisisha cement kufika kwa haraka na nafuu mipakani.. Tuwawezeshe wafanyabiashara wa Kitanzania wafungue madepot ya Cement kwenye nchi kama Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC, Eritrea, Djibout, Comoro kupitia bahari tuweze kufikisha cement huko kirahisi ili viwanda vyetu viweze kufanya kazi na kuajiri watu wetu maelfu na kulipa kodi nyingi..
Acha ujinga ..bora ukae kimya. Apa nchini saruji bado ni shida bei ziko juu sana lakini inayotoka nje mfano Pakistani,Kenya na Uganda ipo chini sana kwa bei.Mbona unachukia kusikia mema ya nchi?
Tutajie hivyo viwanda kwanzaSio kweli mkuu, npo kwnye hyo industry vipo viwanda vinatoa tan 2000 mpk 3000 kwa siku
Alafu nyie mlitwambia bei ya saruji itashuka mpaka 14000-15000 aisee mpaka leo hamna kitu cha hivyo. BISHUMA BISHUBA20,000 kama inavyouzwa Bukoba.
Mkuu dangote sina uhakika kama anazalisha hiyo tani unazo sema
Kwenye makaratasi huwa mandishi tofaut na vitendo
Mbeya cement wakijitahidi huwa wanafikisha tani 600 hapo wanatumia mill mbili
Nyati wao wakijitahidi sana wanaenda mpaka 800
Twigs kidogo wanasogea 900
Kwenye makratasi watambia tofauti ila kwa sisi tulio wahi kufanya kazi kwenye hivi viwanda tunajua
Bado michango ya Mwenge, kuchangia CCM, Kuna michango ya lazima ambayo BASHITE analazimisha kila mfanyabiashara ampe dola laki moja, bado hapo hamjaitwa kuchangia Taifa Stars..... Yote hii Unadhani mwekezaji anarudishaje pesa yake?Bujibuji ukisema gharama za uzalishaji ni nyingi unamaanisha gharama za umeme na tozo za viwanda, kodi na gharama za kupata mali ghafi
Ofuruke Ogye Dar. Negurwa 13,500.Alafu nyie mlitwambia bei ya saruji itashuka mpaka 14000-15000 aisee mpaka leo hamna kitu cha hivyo. BISHUMA BISHUBA
Sawa ila kwa tani wanazo sema ni kubwa kuliko uzalishaji
Mkuu dangote sina uhakika kama anazalisha hiyo tani unazo sema
Kwenye makaratasi huwa mandishi tofaut na vitendo
Mbeya cement wakijitahidi huwa wanafikisha tani 600 hapo wanatumia mill mbili
Nyati wao wakijitahidi sana wanaenda mpaka 800
Twigs kidogo wanasogea 900
Kwenye makratasi watambia tofauti ila kwa sisi tulio wahi kufanya kazi kwenye hivi viwanda tunajua
kweli kabisa ni shida, saruji ya pakistani inauzwa bei gani hapa nchini hata hivyo sidhani kama itakuwa inaruhusiwa kuingia
NentiOfuruke Ogye Dar. Negurwa 13,500.
Uzalishaji pia unatokana na hali ya soko, uzalishaji wa January hauwezi kuwa sawa na wa June. Wanangalia soko linaendaje na pia upatikanaji wa malighafi. So kama wakireport huwa labda wanaleta averages.
Wewe ni muongo unafanya kazi kwenye viwanda vya Simenti kwenye keyboard za computer tu usidanganye watu sie kila siku tupo kwenye hii biashara sema tukuambie , tusafirisha simenti kupeleka Kongo Burundi na watoto wanaenda choo acha upotoshaji.Mkuu dangote sina uhakika kama anazalisha hiyo tani unazo sema