Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

Haha, et niwe mkweli,, ok kuna Dangote, Lake cement wazalishaj wa Nyati cement, Twiga cement huyu anapga zaid ya tani laki 1 kwa mwezi.

Ukihitaji mzigo karibu.
Mkuu kuna kitu unaweza kusema kwa kuwa unaona ni kawaida

Mahitaji ya ndani ni makubwa kuliko uzalishaji

Nimefanya kazi katka viwanda vya saruji ninacho kwambia nina uhakika nacho
 
Duuuh umenikumbusha kitu viwanda vya Tanzania havina uwezo wa kusambaza hiyo saruji nchi jirani kwa kiwango hicho

Mpaka sasa hakuna kiwanda kinacho zalisha tani elf moja kwa siku sasa unajiuliza tu kwa mahitaji ya ndani tu haitoshi sasa huko nje tutapeleka nini

Samahani mkuu naomba nikuweke sawa hapo..

Dangote Cement anazarisha 6000tone/day, Tanga Cement anazarisha 4000tone/day, Twiga Cement anazarisha zaidi ya 1500/day, Mbeya Cement around 1000tone/day..

Kwa uzarishaji nafikiri tunazarisha nyingi kuliko nchi yeyote East Africa nafikiri tatizo kubwa la kuzingatia kuna mchangiaji hapo juu ameelezea ni Gharama za uzarishaji zinazopelekea bei kuwa juu kuliko imported cement inayotoka pakistani na India. Ni vyema wenye mamlaka na maamuzi wakajaribu kupitia gharama za uendeshaji hivi viwanda ili kuvipunguzia mzigo vizarishe zaidi na kuuza cement kwa bei ya chini, pia tuboreshe hizi reli za mipakani ili kurahisisha cement kufika kwa haraka na nafuu mipakani.. Tuwawezeshe wafanyabiashara wa Kitanzania wafungue madepot ya Cement kwenye nchi kama Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC, Eritrea, Djibout, Comoro kupitia bahari tuweze kufikisha cement huko kirahisi ili viwanda vyetu viweze kufanya kazi na kuajiri watu wetu maelfu na kulipa kodi nyingi..
 
Mkuu dangote sina uhakika kama anazalisha hiyo tani unazo sema

Kwenye makaratasi huwa mandishi tofaut na vitendo

Mbeya cement wakijitahidi huwa wanafikisha tani 600 hapo wanatumia mill mbili

Nyati wao wakijitahidi sana wanaenda mpaka 800

Twigs kidogo wanasogea 900

Kwenye makratasi watambia tofauti ila kwa sisi tulio wahi kufanya kazi kwenye hivi viwanda tunajua

Gharama za uzalishaji saruji ni kubwa mno kuliko Nchi za jirani ie Kenya
esther mashiker ni mbinu gani utaitumia ili Mrundi anunue simenti ya Tanzania akaacha ya Pakistan?
esther mashiker umetumwa na unatumika, ondoa akili zako kwenye rasta, zirudishe kwenye ubongo
Bujibuji ukisema gharama za uzalishaji ni nyingi unamaanisha gharama za umeme na tozo za viwanda, kodi na gharama za kupata mali ghafi
 
Samahani mkuu naomba nikuweke sawa hapo..

Dangote Cement anazarisha 6000tone/day, Tanga Cement anazarisha 4000tone/day, Twiga Cement anazarisha zaidi ya 1500/day, Mbeya Cement around 1000tone/day..

Kwa uzarishaji nafikiri tunazarisha nyingi kuliko nchi yeyote East Africa nafikiri tatizo kubwa la kuzingatia kuna mchangiaji hapo juu ameelezea ni Gharama za uzarishaji zinazopelekea bei kuwa juu kuliko imported cement inayotoka pakistani na India. Ni vyema wenye mamlaka na maamuzi wakajaribu kupitia gharama za uendeshaji hivi viwanda ili kuvipunguzia mzigo vizarishe zaidi na kuuza cement kwa bei ya chini, pia tuboreshe hizi reli za mipakani ili kurahisisha cement kufika kwa haraka na nafuu mipakani.. Tuwawezeshe wafanyabiashara wa Kitanzania wafungue madepot ya Cement kwenye nchi kama Uganda, Rwanda, Burundi, Congo DRC, Eritrea, Djibout, Comoro kupitia bahari tuweze kufikisha cement huko kirahisi ili viwanda vyetu viweze kufanya kazi na kuajiri watu wetu maelfu na kulipa kodi nyingi..

Ni "uzalishaji" sio "uzarishaji"...
 
Mkuu dangote sina uhakika kama anazalisha hiyo tani unazo sema

Kwenye makaratasi huwa mandishi tofaut na vitendo

Mbeya cement wakijitahidi huwa wanafikisha tani 600 hapo wanatumia mill mbili

Nyati wao wakijitahidi sana wanaenda mpaka 800

Twigs kidogo wanasogea 900

Kwenye makratasi watambia tofauti ila kwa sisi tulio wahi kufanya kazi kwenye hivi viwanda tunajua

Uzalishaji pia unatokana na hali ya soko, uzalishaji wa January hauwezi kuwa sawa na wa June. Wanangalia soko linaendaje na pia upatikanaji wa malighafi. So kama wakireport huwa labda wanaleta averages.
 
Bujibuji ukisema gharama za uzalishaji ni nyingi unamaanisha gharama za umeme na tozo za viwanda, kodi na gharama za kupata mali ghafi
Bado michango ya Mwenge, kuchangia CCM, Kuna michango ya lazima ambayo BASHITE analazimisha kila mfanyabiashara ampe dola laki moja, bado hapo hamjaitwa kuchangia Taifa Stars..... Yote hii Unadhani mwekezaji anarudishaje pesa yake?
Halafu eti ndio tushindane bei na saruji ya Pakistani!!!!!
 
Mkuu,

Lazima uelewe context kwanza.

Bandari sio wazalishaji wa Cement, bidhaa wanayouza ni uhifadhi na upokeaji wa mizigo. Wanachosema ni uwezo wa bandari yao utakavyokuwa baada ya upanuzi.

Hivyo basi we kama mfanyabiashara au msafirishaji utajua cementi utatoa wapi, kwani bandari ya Dar au Tanga hakuna cementi inyopita pale toka nje?
Sawa ila kwa tani wanazo sema ni kubwa kuliko uzalishaji
 
Mkuu dangote sina uhakika kama anazalisha hiyo tani unazo sema

Kwenye makaratasi huwa mandishi tofaut na vitendo

Mbeya cement wakijitahidi huwa wanafikisha tani 600 hapo wanatumia mill mbili

Nyati wao wakijitahidi sana wanaenda mpaka 800

Twigs kidogo wanasogea 900

Kwenye makratasi watambia tofauti ila kwa sisi tulio wahi kufanya kazi kwenye hivi viwanda tunajua

Naijua Dangote Installed Capacity ni 6000t/day na hiyo ni full Capacity, kosa kosa kabisa hapo kukiwa na breakdowns labda na shida za hapa na pale inakwenda kusimamia 4000-5000t/day.. Walipoanza uzalishaji na mtambo kwa sababu ni mpya walikuwa wanapiga hizo 6000t/day and that was the target brother..
Simba cement pale Tanga wana line mbili, moja yazamani inapiga 2000t/day na line nyingine mpya inapiga 2000t/day, wakikosakosa kwa sababu ya breakdowns za hapa na pale hawakosagi 3000tone/day lakini hizo 4000ton/day zinapatikana kawaida tu. Hiyo Mbeya Cement kabla ya extension kwa maana ya mill mbili ilikuwa ina uwezo wa 1000tone/day labda kama mtambo mbovu, Sungura pale Tanga kiwanda kidogo kabisa anapiga hizo 600-700tone/day unataka kukifananisha na mbeya interms of Capacity?

NINA UHAKIKA NA HIKI NILICHOANDIKA PRACTICALLY.
 
Bado michango ya Mwenge, kuchangia CCM, Kuna michango ya lazima ambayo BASHITE analazimisha kila mfanyabiashara ampe dola laki moja, bado hapo hamjaitwa kuchangia Taifa Stars..... Yote hii Unadhani mwekezaji anarudishaje pesa yake?
Halafu eti ndio tushindane bei na saruji ya Pakistani!!!!!
kweli kabisa ni shida, saruji ya pakistani inauzwa bei gani hapa nchini hata hivyo sidhani kama itakuwa inaruhusiwa kuingia
 
Usemalo sawa na miezi ya mvua mali gafi mengi yanakuwa yameloa lazima uzalishaji upungue na kipindi hiki uzalishaji unaongezela lakin hauwezi kufikia mahitaji ya nje ya tani walizo sema
Uzalishaji pia unatokana na hali ya soko, uzalishaji wa January hauwezi kuwa sawa na wa June. Wanangalia soko linaendaje na pia upatikanaji wa malighafi. So kama wakireport huwa labda wanaleta averages.
 
Mkuu dangote sina uhakika kama anazalisha hiyo tani unazo sema

Kwenye makaratasi huwa mandishi tofaut na vitendo

Mbeya cement wakijitahidi huwa wanafikisha tani 600 hapo wanatumia mill mbili

Nyati wao wakijitahidi sana wanaenda mpaka 800

Twigs kidogo wanasogea 900

Kwenye makratasi watambia tofauti ila kwa sisi tulio wahi kufanya kazi kwenye hivi viwanda tunajua
Wewe ni muongo unafanya kazi kwenye viwanda vya Simenti kwenye keyboard za computer tu usidanganye watu sie kila siku tupo kwenye hii biashara sema tukuambie , tusafirisha simenti kupeleka Kongo Burundi na watoto wanaenda choo acha upotoshaji.
 
Back
Top Bottom