sabuwanka
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 691
- 757
Aje wapi weweNjoo tsap
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aje wapi weweNjoo tsap
Ushauri mzuri, Nashukuru sanaNzega Tabora bado mji unakua hela ipo hapo muhim U balnce hela yako usianze na mabat yatakata mtaj kama nguvu ndogo muhm uskose Nondo japo pisi 60 mm10 mm12 zote 30 30 misumal nchi moja paka nchi tano na ya bat walau mfuko mmoja mmoja, siment japo mifuko 70 dangote 35 simba 35, rang za robo nusu lita moja lita nne lita kumi na lita ishirin japo kdogo kdogo, chokaa na gypsum powder singbody, weka bawaba nchi mbili paka nne nunua bawaba za shaba na zle rang ya gold.
Chukua gundi kidogo za mbao na za moto, weka mabomba ya choon makubwa na madogo chujio za choon kona za mabomba, weka blash nchi 2 3 4 na rola za kupakia rang, weka vifaa vnavyotumika na mafund kujengea mwiko pima maj tepu kamba mapipa n.k.
Weka wavu wa madirisha wa mbu wavu wa kuku weka waya mesh zle za matundu ya draft, weka vifaa vya umeme switch soket holder taa za barubu tube wire wa kufanyia wiring pima umeme mabomba ya umeme na tranka za kuptishia nyaya za umeme kwa kudokoa dokoa vtu vichache vchache ili mtu asikose kitu duka litakuwa vzur hapo Jumlisha na Maombi kumwomba Mungu Kwa Uwezo Wake Utafka Mbali All the best Anza usisubr upate milion100
Kweli kabisaKufanya nini huko? Kwanini msiongelee hapa hapa na Sisi tufaidike?
Naomba ABC za hii bussines basi kama una chochote mkuukz nzuli sana mkuu jipange
Hiyo 180000 ni pesa ya kawaida tu kwa manunuzi ya mchangaTafuta gari lako mwenyewe liwe linasomba mchanga...hiyo 180,000 ni too much.
nikajua nawewe utamoa ushauri kidogo mkuu.....ila biashara ya kuuza tofali inaugumu fulaniNgoja wadau waje
Oh ushauri mzuri[emoji1666]nikajua nawewe utamoa ushauri kidogo mkuu.....ila biashara ya kuuza tofali inaugumu fulani
kwanza ni ya msimu kuna kipindi mvua zinaoiga kiasi kwamba mzigo hautoki kabisa, pia hali ya uchumi ikiwa ngumu, mzigo pia hutoka kwa hasara au usitoke kwa urahisi
Pia kujuana kwingi sana, kiasi kwamba utahitaji connection, mfano kuna wanaofanya hii biashara kwa mwaka wa 9 au 5, so anakuwa na wateja permanent, changamoto hii namshauri ajitahidi sana kutembea site za ujenzi, anaongea na mafundi kuwa kwa kila mteja atakaeletwa basi fundi anapesa kiasi fulani (ni makubaliano yenu tu).....
Maana fundi anaweza mshauri boss akachukue tofali za fulani maana zinaquality nzuri, sema hii biashara ukiwa na tipa itakufaidisha zaidi maana unatafuta wateja na kupeleka mzigo mwenyewe....
Hiyo 180000 ni pesa ya kawaida tu kwa manunuzi ya mchanga
Yaani trip moja 180,000?!!,Hiyo 180000 ni pesa ya kawaida tu kwa manunuzi ya mchanga
Ahsante mkuu,nikajua nawewe utamoa ushauri kidogo mkuu.....ila biashara ya kuuza tofali inaugumu fulani
kwanza ni ya msimu kuna kipindi mvua zinaoiga kiasi kwamba mzigo hautoki kabisa, pia hali ya uchumi ikiwa ngumu, mzigo pia hutoka kwa hasara au usitoke kwa urahisi
Pia kujuana kwingi sana, kiasi kwamba utahitaji connection, mfano kuna wanaofanya hii biashara kwa mwaka wa 9 au 5, so anakuwa na wateja permanent, changamoto hii namshauri ajitahidi sana kutembea site za ujenzi, anaongea na mafundi kuwa kwa kila mteja atakaeletwa basi fundi anapesa kiasi fulani (ni makubaliano yenu tu).....
Maana fundi anaweza mshauri boss akachukue tofali za fulani maana zinaquality nzuri, sema hii biashara ukiwa na tipa itakufaidisha zaidi maana unatafuta wateja na kupeleka mzigo mwenyewe....
Mkuu naomba nikuulizie kuhusu hii kitu maana mzee wangu ndo alikuwa anafanya hii biashara, sijajua kama bei ipo sawa ila faida ipo mkuu.....Ahsante mkuu,
Vp kuhusu faida
Yan
Mfuko mmoja wa cement unatoa tofali ngap?
Tipa moja ya mchanga inaweza toa tofali ngap?
Then gharama za kununua mashine hasa ya mkono coz ndio naanza
Kibarua wa kufyatua per bag nimlipe ela nga
I dont expect to have a maximum profit at the lowest risk
Mkuu naomba nikujibu ninayoyajua, kwanza faida ipo ondoa shakaAhsante mkuu,
Vp kuhusu faida
Yan
Mfuko mmoja wa cement unatoa tofali ngap?
Tipa moja ya mchanga inaweza toa tofali ngap?
Then gharama za kununua mashine hasa ya mkono coz ndio naanza
Kibarua wa kufyatua per bag nimlipe ela nga
I dont expect to have a maximum profit at the lowest risk
Mkuu cha msingi ubora wa tofali unazofyatua unategeneana na aina ya mchanga, aina ya cement na maji unayitumia kumwagilia.Ahsante mkuu,