Tanayzer
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,010
- 7,360
Mkuu cha msingi ubora wa tofali unazofyatua unategeneana na aina ya mchanga, aina ya cement na maji unayitumia kumwagilia.Ahsante mkuu,
Vp kuhusu faida
Yan
Mfuko mmoja wa cement unatoa tofali ngap?
Tipa moja ya mchanga inaweza toa tofali ngap?
Then gharama za kununua mashine hasa ya mkono coz ndio naanza
Kibarua wa kufyatua per bag nimlipe ela nga
I dont expect to have a maximum profit at the lowest risk
Maji yakiwa na kemikali au chumvi sana sio mazuri kwa kufyatulia matofali...., cement bora itabidi uwaulize wauzaji maana ubira wa cement nahisi zimetofautiana kipindi cha karibuni kuna cement nzuri zaidi
Ujitahidi pia kumwagilia maji kwa siku 7 za mwanzo asubuhi na jioni ili kupata quality nzuri na, kuzuia tofali kutoa ufa ambao utafabya uoate hasara ...
Pia inabidi kuwe na mchanganyiko sahihi wa cement na mchanga kutoa tofali bora,.....
Pia kuna suala la usimamizi direct...yani uwepo eneo la tukio mda wote vibarua wanavyofyatua ili wasikuibie cement.....
Vilevile utafute eneo zuri mkuu, eneo ambalo linafikika kwa urahisi, au lenye ujenzi mkubwa unaoendelea...... Uwe na office eneo hilohilo, ili iwe rahisi kuwahudumia wateja kwa haraka, pia daftari la kutunza kumbukumbu muhimu sana,