Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii ni ya msimu akiwa mfanyakazi atakua hana muda labda kipindi hiki cha corona mshauri biashara ya kilasikukama unaweza.... chukua 5m tu katika mtaji wako.... kakusanye mafuta ya alizeti kutoka kwa wakamuaji pale kibaigwa, safirisha kisha sambaza madukani.... hutajutia
kama unaweza.... chukua 5m tu katika mtaji wako.... kakusanye mafuta ya alizeti kutoka kwa wakamuaji pale kibaigwa, safirisha kisha sambaza madukani.... hutajutia
hii ni ya msimu akiwa mfanyakazi atakua hana muda labda kipindi hiki cha corona mshauri biashara ya kilasiku
Sent using Jamii Forums mobile app
Cement ktk hardware ni moja kati ya bidhaa zenye mzunguko sana
Kununulia kiwandani inatakiwa ujisajili kama wakala .. Mara nyingi makampuni ya cement yanakupa target ya idadi za gari (Tan 30)za kuzinunua kwa mwezi .. Mfano wapo wanaotaka ununue gar 10 kwa mwezi..
Hivyo wakala unajikuta lazima nawe ujumlishe ili kufikia target. Na kujumlisha unakuta 10m unafikia target kwa mwezi. Unashusha let say dukani kwako mifuko 200 mingine 400 unasambaza wanakupa cash unapress order tena ..
Mfano
Wapo wanaouza (kama haijabadilika) #32.5
11720x600= 7,032,000/=. Hapo jumlisha transport cost, jumlisha kushusha kila mfuko wastani 100/=
Kama itawezekana pia nipeni ushauri juu ya hii bei hapa kutoka Dangote companyhii ni ya msimu akiwa mfanyakazi atakua hana muda labda kipindi hiki cha corona mshauri biashara ya kilasiku
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo nadhan ni wakala yeye anakujumlishia weweOk japo kuna mtu kutoka Dangote cement kanipa mrejesho kuwa bei zake mpaka inafika kwngu ni 16200 16450 na 16700 kulingana na ubora wake 32N 42N na 42R katik uwiano huo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilipiga hesabu kwa reference ya NYATIKama itawezekana pia nipeni ushauri juu ya hii bei hapa kutoka Dangote companyView attachment 1441476
Sent using Jamii Forums mobile app
Huenda kwa mazingira hayo kaona opportunity hiyo na kajakupata uzoefu kwa wengineAchana na biashara hiyo inafanywa na watu wengi mno, tayari market yake ni saturated na hakuna wwtu wanaojenga sana siku hizi utapoteza hela tu. Tafuta biashara ambayo haina competition kubwa, be creative kama unataka pesa umiza kichwa. Cement retail ni bad business
Huenda kwa mazingira hayo kaona opportunity hiyo na kajakupata uzoefu kwa wengine
Cement pesa haipotei hata kama hutakuwepo dukan .... hesabu IPO wazi
PoaMambo vipi Kaka.
Kufanya nini huko? Kwanini msiongelee hapa hapa na sisi tufaidike?Njoo tsap