Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

Biashara ya Vifaa vya Ujenzi (Hardware Store): Ushauri wa Mtaji, Uendeshaji, Changamoto na Faida

Ni biashara poa sana binafsi nipo kwenye hardware mwaka wa pili sasa hapa mwz.sema mtaji ni mrefu alafu hela yako huwezi iona maana items zake ni nyingi kila mara duka linatakiwa lijae
Upo Rwagasore??
 
Nimepitia pote. Mie nipo Busega eneo Lamadi Naomba muongozo nataka mwezi wa Sita hapo niaze. Biashara ya cement.
 
Back
Top Bottom