Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna web ya mkenya mmoja ilikua na taarifa zote,mpaka adress za wholeseller pamoja na bei za spare,alikua anaresearch na kuuza infor.unamtumia mpesa yeye anakuwekea infor kwenye email.
nimeimissiplace sijui wapi.nikiipata ntakuwekea
Hebu chukua mda uorodheshe hivyo vifaa vidogo vidogo na bei zake kwa bei ya jumla, au unitumie kwenye email yangi (demafa88@gmail.com)Unaweza kabisa! Utachagua kuuza Vifaa vidogodogo ukiacha vile vinavyoshikilia hela nyingi
Nami naomba unitumie hii kama hutojaliHebu chukua mda uorodheshe hivyo vifaa vidogo vidogo na bei zake kwa bei ya jumla, au unitumie kwenye email yangi (demafa88@gmail.com)
alikutumia?Hebu chukua mda uorodheshe hivyo vifaa vidogo vidogo na bei zake kwa bei ya jumla, au unitumie kwenye email yangi (demafa88@gmail.com)
ushauri Mzuri ufanyie kaziSijajua kuhusu mtaji
ila kama umepata eneo unaweza ukatafuta na kijana ambaye ni fundi wa pikipiki akawa anatengeneza hapo hapo pikipik za wateja
kwa kutumia vifaa vinavyonunuliwa hapo kwako utauza zaidi
Eneo limepatikana mkuu, wasiwasi wangu huu mtaji wangu tu. Nataka nipate mawazo ya wadau wenye ujuzi ndipo nione kama naweza kuanza Januari au niendelee kudunduliza kuongeza mtaji.Sijajua kuhusu mtaji
ila kama umepata eneo unaweza ukatafuta na kijana ambaye ni fundi wa pikipiki akawa anatengeneza hapo hapo pikipik za wateja
kwa kutumia vifaa vinavyonunuliwa hapo kwako utauza zaidi
Nimeshauchukua mkuu. Lazima niufanyie kazi.ushauri Mzuri ufanyie kazi
Ingawa hujanipa taarifa mahususi ya biashara tajwa, Ila umenipa hamasa kubwa sana mkuu.Kila la heri mkuu kwenye maisha kama unaona unaweza fanya kitu fanya sasa utafanikiwa ata kama ni laki anza nayo huo ndio uthubutu
vizuri. pia angalia sehemu yenye muingiliano wa watu na wingi wa pikipikiNimeshauchukua mkuu. Lazima niufanyie kazi.
Mtafute fundi pikipiki muombe aje apo mbele ya fremu yako afungue ofisi na yeye atakuambia vifaa gani vinatoka sana ila muwe na makubaliano ya kukulipa kiasi fulani na vifaa awe ananunua kwakoIngawa hujanipa taarifa mahususi ya biashara tajwa, Ila umenipa hamasa kubwa sana mkuu.
Kima cha chini nitafute kama kiasi gani chief?Kwa vifaa vya pikipiki huo mtaji ni mdogo sana
Ni maeneo ambayo kuna kijiwe cha bodaboda mkuu.vizuri. pia angalia sehemu yenye muingiliano wa watu na wingi wa pikipiki
Ila kwanza haujasema upo maeneo gani na ni pikipiki gani kwanza zinapatikana maeneo hayo maana kuna baadhi ya pikipiki vifaa vyake ni ghali na nyingine vifaa vyake ni rahisi kidogoKima cha chini nitafute kama kiasi gani chief?