Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

Biashara ya vipuri vya pikipiki: Ushauri, michango, mawazo

mi mwenyewe na mpango wa kufungua iyo biashara bt nlikuw naomba kujua mtaji wake wadau
 
Wadau Natumaini hamjambo .
Nimeendelea Kupokea oda nyingi kutoka mikoani , hii inaonyesha kua Mtanzania wa Leo anatumia Mtandao kurahisisha Kazi zake.
SINA BUDI PIA KUWASHUKURU SANA WAMILIKI WA HII BLOG KWA HUDUMA NZURI.
Pia niwaombe wadau kuendelea kutoa michango ya mawazo ktk mambo haya ya kiuchumi pia Kama tufanyavyo Kwenye siasa .
 
ImageUploadedByJamiiForums1461812819.529085.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1461812886.667386.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1461812918.986476.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1461812938.987973.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1461812959.040267.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1461813145.821648.jpg
ImageUploadedByJamiiForums1461813217.846073.jpg
 
Naomba munitafutie show pamoja na taa ya pikpik aina hii ni skymark stryker ataeipata anitafute namba yangu ni 0743707283
 

Attachments

  • 1471339572595.jpg
    1471339572595.jpg
    48 KB · Views: 347
Wadau Natumaini hamjambo .
Nimeendelea Kupokea oda nyingi kutoka mikoani , hii inaonyesha kua Mtanzania wa Leo anatumia Mtandao kurahisisha Kazi zake.
SINA BUDI PIA KUWASHUKURU SANA WAMILIKI WA HII BLOG KWA HUDUMA NZURI.
Pia niwaombe wadau kuendelea kutoa michango ya mawazo ktk mambo haya ya kiuchumi pia Kama tufanyavyo Kwenye siasa .
Munauzaje tire ya nyuma tubeless na mbele tube na tubeless na aina gani
 
Heri ya krimasi wana JF. Mimi ni mgeni humu ndani ila nimependezwa sana na JF kwa kuelimisha, kukosoa, kuburudisha na kila kitu kinachoendelea humu.
Nilikua nna wazo la kufungua duka la spea za pikipiki aina ya boxer katika eneo langu nnaloishi kwani kwa kipindi cha miaka miwili ilopita nimeona zikiongezeka kwa kasi sana. huku kwetu maduka ya spea za boxer ni kama hakuna kwani maduka mengi ni ya spea za pikipiki aina nyingine.
nilipenda kujua kama kuna mtu anajua, ni kiasi gani nahitaji kuanza nacho, upatikanaji wa spea zenyewe, na jinsi gani naweza kuvutia wateja kila siku.
 
Upo eneo gani mkuu, uza hizi soda zinauzika sana ila tahadhari. Changanya orijino kwa maana zilizotengenezwa India pamoja na copy zake(made in China ) na Wateja waambie ukweli kuwa hiyo ya India bei yake IPO ila inadumu na hii ya kichina being nafuu ila nunua for your own risk.

Note: nilinunua shock absorber za nyuma za China ambazo bei yake ilikuwa robo ya zile za India lakin ajabu hizi za kichina zimedumu na zinabeba mzigo mzigo kwenye Barbara mbovu kuliko og!
 
Thanks kaka, nipo mwanza mimi. Pia nilipenda kujua, kwa dar naweza kupata hizi spare kwa jumla au mpaka kuagiza nje??
 
nimewaza kuanzisha biashala hii ya spare za pikipiki ,nina idea ya ufundi kwa matatizo madomadogo kama kurekebisha tapet na kurekebisha vitu vingine tofauti na kugusa engine pamoja na wiring,

ningependa nisaidiwe makisio ya garama itakayo hitajika kufugua duka la kuanzia, huku toyo ndo nyingi, pia nawaza kutafuta fund ili aongeze mzunguko,

pia naomba kupata list ya vipuli muhimu vinavyo zunguka kwa halaka na bei zake kwa bei ya jumla

pia njia za kuifanya biashara hii ikue halaka

naomba kuwasilisha wanajukwaa
 
wanakuja mkuu, bado wanatafakali bajet iliyosomwa jana
 
Biashara ya vifaa vya pikipiki ni nzuri na inatija kulingana na maeneo.Vifaa hivi vinapatikana kariakoo maeneo ya mnadani bei ni chee kabisa.
 
Mkuu gkileo, mi nina frem ya biashara napenda kujua nikiwa na milion moja na.nusu naweza kufanya biashara hiyo ya vifaa kwa rejareja?

Unaweza kabisa! Utachagua kuuza Vifaa vidogodogo ukiacha vile vinavyoshikilia hela nyingi
 
Back
Top Bottom