usiache kusoma nenda open university, pale kinondoni au mkoa wowote upendao, huko kuingia darasani ni siku ya kufanya mitihani tu, hujachelewa nenda ka apply na ada yake ni nafuu ni laki tisa hivi kwa mwaka, material yote yapo kwenye online system.
Elimu ni ufunguo wa maisha.
Nimemuuliza huyo bibie kwake elimu ina maana gani?
Au nikuulize wewe kwako ukiskia neno elimu unaelewa kitu gani?
Nimemuuliza huyo bibie kwake elimu ina maana gani?
Au nikuulize wewe kwako ukiskia neno elimu unaelewa kitu gani?
King'asti...basi una tafisiri tofauti ya elimu kabisa.Unaweza kuwa sahihi kabisa. Lakini Inawezekana nae ile label ya dropout ilimchosha. Well, mimi sio yeye lakini ingenichosha pia. Hebu focus kwa huyu jamaa.
Halafu Ningekuwa Yeye shule ingekuwa plan B. Naogopa Sana dead ends. Kuna wafanyabiashara Wamefika mbele wakakwama, na kujikuta plan B zimewatoa
Sent using Jamii Forums mobile app
Elimu ipo formal na informal. Hata kujamiiana na wadau wa jf hapa ni elimu. Hapa ndugu ameomba ushauri juu ya formal education. Kwangu mimi zote formal and informal education zina umuhimu wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu ni tag
Risk ni neno linalokuzwa kuliko lilivyo lenyewe,hata kuzaa watoto ni risk kuliko kutokuzaa,lakini bado kila mtu anapambana azae,kuishi kwenyewe ni risk labda maiti ndo haina risk.Unahitaji pia USHAURI toka kwa wajasriamali wazoefu, hapo juu wametoa ushauri mzuri sana lakini pia ni vizuri kuwa na mkuki wenye incha mbili kama silaha,
Tofauti ya biashara na elimu mojawapo ni kama zfuataza:
1. Elimu iliyo Bora ni hatua ambayo haitabadilika kimaisha na kimaarifa kichwani milele Lakini upande wa pili Biashara/Ujariamali kwa hatua yeyote ni karata tu Risk zipo pale pale unaweza kufilisika at any time
2. Ni kweli chuo kipo pale pale PIA biashara ipo pale pale ndio maana mtu anastaafu ajira 60+yrs bado anaweza fungua biashara na kufaulu lakini SIO rahisi kufilisika biashara hata tu 50+yrs ukarudi chuo na ukapata ajira
3. Biashara zina RISK KUBWA SANA kwa kulinganisha na RISK za ajira zilizo nyingi hasa zitokanazo na elimu BORA
Nitaedelea baadae
Chemka kijana nunua eneo kama security.Hata hivyo sijasema nimewahi kuwa mjaliamali au mimi ni mjasiliamali, umeninukuu vibaya. Sina specialisation mpaka sasa ndiyo maana nimekuja kuomba ushauri.
Soma post upya
Sent using Jamii Forums mobile app