Biashara yangu inaniingizia faida ya Tsh. 200,000 kila mwezi; Je, Niiache niende chuo?

Biashara yangu inaniingizia faida ya Tsh. 200,000 kila mwezi; Je, Niiache niende chuo?

Mkuu kabla ya kukushauri, wasaidie vijana ni aina gani ya biashara unaifanya. Ili wao waweze kuanzisha na kuiendeleza.

Ili hata utakapoondoka kwenda chuoni na biashara yako kufifia, mawazo yako na jitihada zako ziendelezwe na wengine.

Siyo vema hivyo net profit 200,000 izizime tu. Tueleze ni biashara gani na jinsi gani unaifanikisha.
 
Hongera sana CIA. kwa ushauri wangu chagua cozi ambayo itakufaidisha katika maisha yako yako ya kibiashara kama unaipenda au cozi nyingine uli4yokuwa na ndoto nayo. Elimu unaweza kuipata kwa njia yoyote huku ukiwa unafanya kazi yako. Wakati ni huu hausubiri mtu. Jiunge na chuo huria " for distance learning" au chuo kitakavyokupa masomo ya jioni/usiku. Vipo
 
Unahitaji pia USHAURI toka kwa wajasriamali wazoefu, hapo juu wametoa ushauri mzuri sana lakini pia ni vizuri kuwa na mkuki wenye incha mbili kama silaha,

Tofauti ya biashara na elimu mojawapo ni kama zfuataza:
1. Elimu iliyo Bora ni hatua ambayo haitabadilika kimaisha na kimaarifa kichwani milele Lakini upande wa pili Biashara/Ujariamali kwa hatua yeyote ni karata tu Risk zipo pale pale unaweza kufilisika at any time

2. Ni kweli chuo kipo pale pale PIA biashara ipo pale pale ndio maana mtu anastaafu ajira 60+yrs bado anaweza fungua biashara na kufaulu lakini SIO rahisi kufilisika biashara hata tu 50+yrs ukarudi chuo na ukapata ajira

3. Biashara zina RISK KUBWA SANA kwa kulinganisha na RISK za ajira zilizo nyingi hasa zitokanazo na elimu BORA

Nitaedelea baadae
 
Unaweza kuwa sahihi kabisa. Lakini Inawezekana nae ile label ya dropout ilimchosha. Well, mimi sio yeye lakini ingenichosha pia. Hebu focus kwa huyu jamaa.

Halafu Ningekuwa Yeye shule ingekuwa plan B. Naogopa Sana dead ends. Kuna wafanyabiashara Wamefika mbele wakakwama, na kujikuta plan B zimewatoa

Sent using Jamii Forums mobile app
King'asti...basi una tafisiri tofauti ya elimu kabisa.

Hivi wewe hapo kwa mfano,umeenda shule ili upate ujuzi wa kujumlisha hesabu,ulipofika shule ukaambiwa ujuzi huu utaupata ndani ya miaka miwili,halafu wewe ukasoma miezi miatatu ukaweza kujumlisha hizo hesabu,je una ulazima wa kuendelea kusoma? Wakati ujuzi uliokupeleka umeshaupata?
 
Elimu ipo formal na informal. Hata kujamiiana na wadau wa jf hapa ni elimu. Hapa ndugu ameomba ushauri juu ya formal education. Kwangu mimi zote formal and informal education zina umuhimu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app

Umenambia aina za kuipata elimu but hujanmbia elimu ni kitu gani.

According to me. "Elimu ni weledi wa kukabilana na changamoto za kila siku katika huu ulimwengu na kwa namna tofauti na mpya kila siku kwa faida yako na wanaokuzunguka.."

Out of that bado hujaelimika.
 
Akikujibu ni tag

"Elimu ipo formal na informal. Hata kujamiiana na wadau wa jf hapa ni elimu. Hapa ndugu ameomba ushauri juu ya formal education. Kwangu mimi zote formal and informal education zina umuhimu wake. "

Jibu la bibie uliloomba kujuzwa mkuu.
 
Unahitaji pia USHAURI toka kwa wajasriamali wazoefu, hapo juu wametoa ushauri mzuri sana lakini pia ni vizuri kuwa na mkuki wenye incha mbili kama silaha,

Tofauti ya biashara na elimu mojawapo ni kama zfuataza:
1. Elimu iliyo Bora ni hatua ambayo haitabadilika kimaisha na kimaarifa kichwani milele Lakini upande wa pili Biashara/Ujariamali kwa hatua yeyote ni karata tu Risk zipo pale pale unaweza kufilisika at any time

2. Ni kweli chuo kipo pale pale PIA biashara ipo pale pale ndio maana mtu anastaafu ajira 60+yrs bado anaweza fungua biashara na kufaulu lakini SIO rahisi kufilisika biashara hata tu 50+yrs ukarudi chuo na ukapata ajira

3. Biashara zina RISK KUBWA SANA kwa kulinganisha na RISK za ajira zilizo nyingi hasa zitokanazo na elimu BORA

Nitaedelea baadae
Risk ni neno linalokuzwa kuliko lilivyo lenyewe,hata kuzaa watoto ni risk kuliko kutokuzaa,lakini bado kila mtu anapambana azae,kuishi kwenyewe ni risk labda maiti ndo haina risk.

Kwa ufupi neno risk ukilitanguliza mbele utakufa bila kuishi malengo yako..verybad
 
Hata hivyo sijasema nimewahi kuwa mjaliamali au mimi ni mjasiliamali, umeninukuu vibaya. Sina specialisation mpaka sasa ndiyo maana nimekuja kuomba ushauri.

Soma post upya

Sent using Jamii Forums mobile app
Chemka kijana nunua eneo kama security.
Tafuta loan panua biashara.
Bakresa anakimbizana na Mengi kwenye biashara.
Utasoma na na bizz yako inalipa!!
 
Kwa vile mshua alikuwa mtamu sana school...na influence yake ya mi kumiliki Degree ndio kisa cha mimi kusoma zaidi ila kwa amri yangu ningefunga mkataba nikiwa F4 tu ungekuta sahivi nna maisha tayari kupitia business.

Binafsi ntakuita jina alilotuzawadia mstaafu lile kama ukikimbilia degree ukaacha hela ipotee.
 
Back
Top Bottom