Biashara yangu inaniingizia faida ya Tsh. 200,000 kila mwezi; Je, Niiache niende chuo?

Kubabake yani ukienda Chuo ukaacha Project zako nitakuona bonge la Fala... Ms***nge.
Usifanye huo ujinga.
Chuo ni kupoteza muda.
Mimi Nina Degree tena First class ya UDSM. Niulize Nina nini cha maana.

Nashukuru sana umemuandikia kwa herufi kubwa kabisa.
 
SHAMAC Hebu shauri mdau hapa. Mimi Niko sorted na bado nakusanya formal and informal education. Sasa maana yangu YA kusema atafute shule ni kuwa itamuongezea uwezo wa kukabiliana na changamoto (confidence pia).

Mshawishi kwa Nini asiende chuo? Hizi matambo zetu za ku-define elimu zitamkonfyuzi tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubabake yani ukienda Chuo ukaacha Project zako nitakuona bonge la Fala... Ms***nge.
Usifanye huo ujinga.
Chuo ni kupoteza muda.
Mimi Nina Degree tena First class ya UDSM. Niulize Nina nini cha maana.
Dah inaboa kichizi yani, mwisho wa siku kumbe degree sio maisha yani kama tulivyoaminishwa na wazee wetu bali imebaki kuwa intellectual joy. Jiulize ile ada ya miaka mi3 au mi4 ungeitawanya katika biashara ndogo ndogo tatu au 4 ungekuwa wapi sahivi kaka???
 
Kasome uwe masikini 🙂 majority ya wasomi they live a boring life. Wanamaliza chuo wanaajiriwa labda akibahatika atajenga Mungu akimjalia zaidi sana atanunua na gari, atastaafu, anakufa nainakuwa dead n gone hana anachoacha zaid ya nyumba kama hajajenga na story yake inaishia hapo watoto waliobaki na wenyewe kwakuwa hawana foundation nzuri wataishi hivyo hivyo.

Endeleza biashara one day kama siyo wewe basi mwanao au walimwengu watajua, elimu ipo utasoma
 
Andika barua ya Ku postpone mwaka wa masomo rudi kupiga mzigo,chuo au vyuo vipo. Nilikuwa nasoma na watu wenye mvi darasani kwetu,but usijisahau sana biashara ikikaa Sawa kiasi kwamba unaweza kumuachia mtu basi we muachie mtu uende ukasome,ambapo Hata huko utapata muda wa kuitembelea if ipo dar.
 


Nimekuelewa binti King'asti
 
Baba chuo ndo kila kitu nenda kasome hizo kazi zipo tu
 
Unaweza kufanya vyote hata chuo kuna wafanya biashara kwa hiyo elimu itakusaidia baadae kuongeza vision ya biashara yako na knowledge cha msingi pangilia muda ,wapo wengi biashara zao zilikwama na elimu yao ikawainua si unajua biashara ina risk nyingi, mi nina masters degree ya procurement na muajiria na ni mfanyabiashara na nilisoma nikiwa nafanya biashara na kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kubabake yani ukienda Chuo ukaacha Project zako nitakuona bonge la Fala... Ms***nge.
Usifanye huo ujinga.
Chuo ni kupoteza muda.
Mimi Nina Degree tena First class ya UDSM. Niulize Nina nini cha maana.
Verybad.....ila hata ukiangalia hali za maprofesa wetu vyuoni si nzuri kwakweli,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…