Asante kwa ushauriBasi unapotea njia kama lengo ndio hilo.
Komaa expand Biashara zako Kijana.
Leo hii August 13 2017 maneno haya utayakumbuka.
Futa mawazo ya kuajiriwa.
Narudia: Futa mawazo ya kuajiriwa.
Utakufa masikini.
Nikawape mtaji, hilo neno linaumaWewe elimu ni ufunguo wa maisha sio ufunguo wa vyeti wew ulishafunguka sasa unahitaji kurundika vyeti vya sifa ndani au okey n nisikushauri san wew ni mtu mzima nenda kawape mtaji uje uanze upya .
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko vizuri sana. Thanks kabisa na ujinga unaoitwa risk. Kila kitu ni risk. Kusoma. Kuishi. Kufa. Kuzaa. Kutembea. Kula biashara na vingine vyote. Ukiwa na degree unapata kazi utastaafu ukapata kiinua mgongo ukafungua biashara nayo ni risk. Hata ajira yenyewe ni risk. Tusiwatishe watu kuwa like ni risk very bad.Risk ni neno linalokuzwa kuliko lilivyo lenyewe,hata kuzaa watoto ni risk kuliko kutokuzaa,lakini bado kila mtu anapambana azae,kuishi kwenyewe ni risk labda maiti ndo haina risk.
Kwa ufupi neno risk ukilitanguliza mbele utakufa bila kuishi malengo yako..verybad
Hiyo laki mbili ni baada ya kulipa mshahara? Kama vipi tafuta "online courses " lakini ni ghali zaidi ya vyuo vyetu na utahitajika uwe na Internet stableWakuu habari zenu,. Mwaka 2014 nilihitimu kidato ya sita shule mojawapo nchini, nikafanya application kuingia chuo kikuu nikachaguliwa kwenda kusoma course ya uchumi pale udsm.
Kwa bahati mbaya sikupata mkopo kutoka HESLB kwa ajili ya kuniwezesha kupata elimu hiyo ya juu,
Nikatazama nyuma na mbele nikagundua sina support kutokana na umasikini uliokithili ndani ya familia yangu,
Baada ya hapo nikachukua maamzi magum, nikasafiri kutoka mkoani mpaka jijini na nikafuta na kufuta kabisa mawazo ya hiyo elimu ya chuo kikuu kwanza kwenye ubongo wangu.
Mawazo yangu na bongo langu nikahamishia kwenye neno "ajira" nikaanza kutembeza bahasha la vyeti vyangu ya secondary kutafuta ajira hapa mjini, hata hivyo sikuweze kupata ajira baada ya kuzunguka sana na bahasha hapa jijini,. Baada ya changamoto hiyo ikanifundisha tena kubadili mawazo kutoka kutafuta ajira mpaka kutafuta "mtaji" ili nijiajiri, nikiwaza ni jinsi gani niachane na suala la kutembeza bahasha kila ofisi naonekana kama bango,
nikaamua kukusanya kamtaji kwa kuanzia na kale kale ambako nilikuwa nazunguka nako kutafuta ajira nikapiga vibarua vya hapa na pale, nikasaidia sana mafundi site mbalimbali, nikapata kamtaji, nikaachana kwanza na vibarua nikaanzisha biashara fulani.
kwa sasa biashara yangu hiyo inanilipa faida tasilimu ya shilingi laki mbili kila mwezi, na mpaka dakika hii nimeweza kukusanya ada ya kuweza kujilipia university nchini.,
Je niende chuo au niendelee na biashara yangu hii.
NB nikimuachia mtu kuisimamia hii business lazima ife ndani ya muda mfupi sana maana inahitaji kujitoa sana. Japo kulingana na hela niliyonayo cash lazima chuo nimalize bila wasiwasi kabisa..
Naombeni ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni baada ya kulipa mshahara.Hiyo laki mbili ni baada ya kulipa mshahara? Kama vipi tafuta "online courses " lakini ni ghali zaidi ya vyuo vyetu na utahitajika uwe na Internet stable
STK labda nchi nzima ziko 500 tu,halafu kila mwaka wanaohitimu vyuo wako 400,000.kwa mliofaulu hesabu piga probability ya kutembelea stk hapo...
Nimekuelewa sana A2G
Haaaa haaaa...uko kama Mimi mkuuMimi sionagi nilifata nini University...
Yan acha tu. Hata kipato changu sasa 70% kinatengenezwa na elimu mtaani na juhudi binafsi
Daaah mkuu imenitouch asee...Kubabake yani ukienda Chuo ukaacha Project zako nitakuona bonge la Fala... Ms***nge.
Usifanye huo ujinga.
Chuo ni kupoteza muda.
Mimi Nina Degree tena First class ya UDSM. Niulize Nina nini cha maana.
Na bado wanaotembelea hizo STK hawataki kustafuprobability ya kutembelea STK ni 0.00125. Na hiyo ni kwa wale wanaomaliza mwaka mmoja tu, je ukiunganisha na wa miaka mingine si inakuwa balaa.
Weee!....tena sasa hivi ndo kipindi kibaya cha kukomalia shule
Kabisa!...mi nimeajiriwa sioni hata nachokifanya zaidi ya kula na Ku.nyaYan acha tu. Hata kipato changu sasa 70% kinatengenezwa na elimu mtaani na juhudi binafsi
Milion 30 zote? Duh unakisimatiKumbe mkuu upo pazuri sana kuajiriwa sio kuzuri ni utumwa tu, mi mwenyewe kuna mtego wa 30m nikifanikiwa kuzipata ntakuja kuwaomba ushauri nizifanyie nn ili ninyanyuke kibiashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kureplace elimu na pesa. Kuna watu wanafanya biashara wana pesa za kutosha lakini Maisha wanayoishi yanasikitisha. Usiache biashara. Ingia open university. Hata dropouts kama kina bill Gates waliona sababu ya kurudi Shule.
Hongera na Kila la kheri.
Sent using Jamii Forums mobile app
huyu sio mjinga.. huyu ni form 6 leaver.. tena aliyefaulu na kuchaguliwa udsm inshort sio kilaza...
kufaulu form 6 ni ngumu kuliko kupata degree kwa vyuo vingi....
so huyu anatakiwa apate elimu practical kwenye biashara yake maana hana ndoto za kuajiriwa...
masomo ya vyuo vikuu akiamua anajisomea hata kwa kusikiliza lecturez youtube kila siku...
elimu ni knowledge sio cheti