Uponyaji na uzima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2015
- 666
- 1,255
Mbona kwaresma ipo na biashara ya chakula inaendelea nayo tuseme wakristo ni wachache au nyie hamfungi? Kama nyie hamfungi basi na waislam hawafungiNimepita maeneo ya magomeni, ilala, kinondoni, buguruni, temeke na mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea alhamisi, ijumaa na hata leo jumamosi asubuhi.
Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za chakula hazijasitishwa mida ya mchana. Au ni kwamba waislamu ni wachache sana hapa dar?
Kwahiyo ulitaka tusile????Nimepita maeneo ya magomeni, ilala, kinondoni, buguruni, temeke na mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea alhamisi, ijumaa na hata leo jumamosi asubuhi.
Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za chakula hazijasitishwa mida ya mchana. Au ni kwamba waislamu ni wachache sana hapa dar?
Mzeebaba nipe namba ya mpishi yeyote nipo hapa mjini darajani napata tabu kinoma kupata chakulaKama uku Zanzibar migahawa bubu ipo kibao kipindi hiki cha wenye dini yao kufunga usishangae uko dar
Uku Zanzibar chakula kikiwa tayari utajulishwa kwa simu na wanaopika ni wanawake wa kiislam
Waislam wengi tu hawafungi ila jioni kwa kuwa kunw chakula cha bwerere lazima watie kandhu kutafuta biriani