Biashara za chakula kuendelea kushamiri mchana hapa Dar mwezi wa Ramadhani ni uthibitisho kwamba waislamu ni wachache?

Biashara za chakula kuendelea kushamiri mchana hapa Dar mwezi wa Ramadhani ni uthibitisho kwamba waislamu ni wachache?

Status
Not open for further replies.
Wewe endelea kujidanganya tu, waislam wanao oa wake wawili mpaka wanne wawe wachache kuliko nyie ? Unataka waislam wote wafunge ? Ilo haliwezekani...sababu baina yao kuna wagonjwa, kuna wanaonyonyesha, kuna walio katika siku zao, kuna washenz wasio weza kufunga tu kwa kujiendekeza, ivyo bas biashara kuendelea sio kigezo.
Waislam ni wengi kuliko wakristo Tanzania
 
Nimepita maeneo ya magomeni, ilala, kinondoni, buguruni, temeke na mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea alhamisi, ijumaa na hata leo jumamosi asubuhi.

Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za chakula hazijasitishwa mida ya mchana. Au ni kwamba waislamu ni wachache sana hapa dar?
Kuna wagonjwa, wajawazito, wasafiri, watoto wadogo , wasio waislamu hawa wote hawatakiwi kufunga, kwahiyo kupika ni lazima na vyakula lazima vilike
 
Ni ngumu kumfungisha mama lishe mwezi mzima aziuze chakula mchana. Wanaoweza kuacha kuuza chakula mchana ni wale wenye migahawa mikubwa. Sasa mama lishe mwenye genge akiacha kuuza mwezi mzima mpaka ramadhan ipite si utamuua kwa njaa? Hizi funga kwa wengine ni mzigo mzito. Imani ibaki ni suala la mtu binafsi na mungu wake tusilazimishane kufunga
Inategemea na mahali ulipo,kwa pemba huwezi kuthubutu kufanya hivyo hata kama wewe si muislam
 
Inategemea na mahali ulipo,kwa pemba huwezi kuthubutu kufanya hivyo hata kama wewe si muislam
Pemba ni jamhuri ya kiislam, kule ndio kuna masultan wengi ndio maana kuna msemo wa kiswahili usemao waarabu wa pemba wanafahamiana kwa vilemba vyao. Kama si jamhuri ya muungano kale ka kisiwa kangeleta vurugu za kisiasa kaunde jamhuri yake ya kiislam. Raia wa huko watambue kuwa kuna ambao si waislam na wanatakiwa kuwa huru kula mchana hadharani
 
Kwahiyo waislam wote Tanzania wako buguruni na Mbagala??
 
Nimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi.

Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za chakula hazijasitishwa mida ya mchana. Au ni kwamba waislamu ni wachache sana hapa Dar?
Go straight to the topic
 
Maisha lazima yaendeleee

Kuna wanawake wa kiislam kazi zao ni kuuza chakula.

Kufunga wanafunga swaumu. Ila biashara ya kuuza chakula milo yote kuanzia asubuhi na hata mchana wanaendelea kufanya maana ndio kazi yao inayowapa kipato
Wanabalansi vipi chumvi? Au wamekariri kipimo?
 
Pemba ni jamhuri ya kiislam, kule ndio kuna masultan wengi ndio maana kuna msemo wa kiswahili usemao waarabu wa pemba wanafahamiana kwa vilemba vyao. Kama si jamhuri ya muungano kale ka kisiwa kangeleta vurugu za kisiasa kaunde jamhuri yake ya kiislam. Raia wa huko watambue kuwa kuna ambao si waislam na wanatakiwa kuwa huru kula mchana hadharani
Kule ni habari nyingine!!mwaka jana mfungo ulinikuta huko!!!siku moja nimekaa vichakani napata chapati zinatengezwa kwa mchele,na juice ya bungo,bnana watoto wakapita wanatoka skuli!!nikasikia wanaanza kuimba KOBE HUYO,KOBE HUYO!!daaa niliogopa tu kuwapiga nikaona yatakuwa mengine tena ila daaa niliona aibu.
 
Tatizo lipo kwa mtoa mada, inaonekana amefika mwaka huu dar kutoka huko unyanyembe!

Nikirudi kwenye mada, juhudi hizi za kila siku za kujaribu kuudogoisha Uislamu tatizo na chanzo ni nini?!!!!
acha udini wewe, ishi huru kifikra
 
Nimepita maeneo ya Magomeni, Ilala, Kinondoni, Buguruni, Temeke na Mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea Alhamisi, Ijumaa na hata leo Jumamosi asubuhi.

Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za chakula hazijasitishwa mida ya mchana. Au ni kwamba waislamu ni wachache sana hapa Dar?
Mmongonyoko wa maadili nimatokeo ya kufa kwa dini
 
Hata hao waislam kadri miaka inavyoenda wafungaji wanapungua, wameanza kuona si kitu kufunga zaidi ni imani tu. Ndio maana wengi wanaonekana wakila bila uficho.
Inchaji inaonekana unaumia sana kuona Ramadhan ina nguvu kuliko kwaresma.!!!
 
Kuna jamaa kafunga lakini namdai na ananizungusha kunipa pesa yangu huu mwezi WA 3 Sasa,hivi huyu kafunga nini
 
Mzeebaba nipe namba ya mpishi yeyote nipo hapa mjini darajani napata tabu kinoma kupata chakula
CCM Maisara wapo wazi...
Migombani Officers Mess wapo wazi..
Nyuki Club ipo wazi...

Kama ni mtu wa mama ntilie... Hapa Chukwani wapo....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom