Askarimaji
JF-Expert Member
- Jan 28, 2016
- 269
- 651
Wewe endelea kujidanganya tu, waislam wanao oa wake wawili mpaka wanne wawe wachache kuliko nyie ? Unataka waislam wote wafunge ? Ilo haliwezekani...sababu baina yao kuna wagonjwa, kuna wanaonyonyesha, kuna walio katika siku zao, kuna washenz wasio weza kufunga tu kwa kujiendekeza, ivyo bas biashara kuendelea sio kigezo.
Waislam ni wengi kuliko wakristo Tanzania
Waislam ni wengi kuliko wakristo Tanzania