Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unamuuzia nan ndo swal la mleta mada ? au ni kwel waislam ni wachache?Maisha lazima yaendeleee
Kuna wanawake wa kiislam kazi zao ni kuuza chakula.
Kufunga wanafunga swaumu. Ila biashara ya kuuza chakula milo yote kuanzia asubuhi na hata mchana wanaendelea kufanya maana ndio kazi yao inayowapa kipato
unamuuzia nan ndo swal la mleta mada ? au ni kwel waislam ni wachache?
AiseeWaislam wengi wavivu kufanya mishe mishe Wanashinda vjiweni wanapiga soga, kucheza bao ama kufanya kazi za kivivu za udalali wa nyumba.
Wanategemea nyumba zao za urithi kuendesha maisha.
Hao wanaokula chakula mchana ni watu wa dini zingine non muslims, ambao wanakuwa kwenye mishe mishe za utafutaji. Muda huo waislam waliofunga wapo mitaani kwao wanacheza bao ama draft
Aisee
kuna tafiti yoyote uliyowahi kuiona ambayo inaonesha waislam wamepata madhara kwa kufunga mwezi mzima? ila zipo tafiti nyingi ambazo zinaonesha funga ya ramadhan inaimarisha afya ya mfungaji.Kisayansi ya maumbile mtu anatakiwa ale chakula kwa kadiri mwili unavyohitaji. Kuunyima mwili chakula kwa muda mrefu ni kujitakia matatizo ya kiafya.
Ndo njia nzuri ya kujipima kama funga na swaumu ni ya kweli na inapita panapotakiwa.Nimepita maeneo ya magomeni, ilala, kinondoni, buguruni, temeke na mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea alhamisi, ijumaa na hata leo jumamosi asubuhi.
Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za chakula hazijasitishwa mida ya mchana. Au ni kwamba waislamu ni wachache sana hapa dar?
Hakuna andiko lolote linalo zuiya kuuza chakula mchana wa ramadhaniNimepita maeneo ya magomeni, ilala, kinondoni, buguruni, temeke na mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea alhamisi, ijumaa na hata leo jumamosi asubuhi.
Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za chakula hazijasitishwa mida ya mchana. Au ni kwamba waislamu ni wachache sana hapa dar?
Umejuaje kuwa awafungi?Kama uku Zanzibar migahawa bubu ipo kibao kipindi hiki cha wenye dini yao kufunga usishangae uko dar
Uku Zanzibar chakula kikiwa tayari utajulishwa kwa simu na wanaopika ni wanawake wa kiislam
Waislam wengi tu hawafungi ila jioni kwa kuwa kunw chakula cha bwerere lazima watie kandhu kutafuta biriani
TOFAOTISHA kwaresma na ramadhani wakiristo wanafunga baadhi ya vyakula tuMbona kwaresma ipo na biashara ya chakula inaendelea nayo tuseme wakristo ni wachache au nyie hamfungi? Kama nyie hamfungi basi na waislam hawafungi
Tangu zamani wanakwepa waisilamu wafungaji na Kakobe tangu zama labda wewe mgeniHata hao waislam kadri miaka inavyoenda wafungaji wanapungua, wameanza kuona si kitu kufunga zaidi ni imani tu. Ndio maana wengi wanaonekana wakila bila uficho.