Biashara za chakula kuendelea kushamiri mchana hapa Dar mwezi wa Ramadhani ni uthibitisho kwamba waislamu ni wachache?

Biashara za chakula kuendelea kushamiri mchana hapa Dar mwezi wa Ramadhani ni uthibitisho kwamba waislamu ni wachache?

Status
Not open for further replies.
Maisha lazima yaendeleee

Kuna wanawake wa kiislam kazi zao ni kuuza chakula.

Kufunga wanafunga swaumu. Ila biashara ya kuuza chakula milo yote kuanzia asubuhi na hata mchana wanaendelea kufanya maana ndio kazi yao inayowapa kipato
unamuuzia nan ndo swal la mleta mada ? au ni kwel waislam ni wachache?
 
Agano la kufunga baina ya kusudio lao au nuizo lao kwa Mungu limefanyika? Mungu anahitaji lengo na madhumuni kwanza. Zaburi ya 51 yote ndio yapaswa kuwa mwongozo
 
unamuuzia nan ndo swal la mleta mada ? au ni kwel waislam ni wachache?

Waislam wengi wavivu kufanya mishe mishe Wanashinda vjiweni wanapiga soga, kucheza bao ama kufanya kazi za kivivu za udalali wa nyumba.

Wanategemea nyumba zao za urithi kuendesha maisha.

Hao wanaokula chakula mchana ni watu wa dini zingine non muslims, ambao wanakuwa kwenye mishe mishe za utafutaji. Muda huo waislam waliofunga wapo mitaani kwao wanacheza bao ama draft
 
Waislam wengi wavivu kufanya mishe mishe Wanashinda vjiweni wanapiga soga, kucheza bao ama kufanya kazi za kivivu za udalali wa nyumba.

Wanategemea nyumba zao za urithi kuendesha maisha.

Hao wanaokula chakula mchana ni watu wa dini zingine non muslims, ambao wanakuwa kwenye mishe mishe za utafutaji. Muda huo waislam waliofunga wapo mitaani kwao wanacheza bao ama draft
Aisee
 
Kuna chaneli moja ya tv ya chama fulani kila siku usiku wazee wa dini hii wanazungumzia funga hii kana kwamba ni utakaso wa dhambi. Hawaoni athari za kufunga kula japo wanajua kuna ambao hawawezi kufunga hata kidogo. Kuna imani ambazo ni mzigo mzito kwa watu kuaminishwa vitu vya ajabu vinavyoweza kuwaletea athari miilini mwao. Kisayansi ya maumbile mtu anatakiwa ale chakula kwa kadiri mwili unavyohitaji. Kuunyima mwili chakula kwa muda mrefu ni kujitakia matatizo ya kiafya.
 

Huo ni ukweli. Fanya research yako kwa kuangalia wanaume waliokuzunguka unaowajua ambao ni muslim vs non muslims. Nani wavivu kufanya kazi za aina zote ?

Wanaume weusi wa kiislam wana bahati sana. Pamoja na uvivu wao hawakosi wanawake wa kuwaoa maana wanawake wa kiislam hawaruhusiwi kuolewa na non muslims. Na wanaume waislam waarabu hawapendi kuoa waislamu weusi.

Ingetokea wanaruhusiwa kuolewa na non muslims. Wanaume weusi wa kiislam kwa jinsi walivyo wavivu. Wangekosa hata wake wa kuoa.

Maana hakuna mwanamke wa kiislam angekubali kuolewa na wavivu wavivu wanaotegemea kupokea kodi ama kuuza nyumba za urithi
 
Tufanye ndio ni wachache, So WHAT!? kuna shida yeyote wakiwa wachache?
 
Tatizo lipo kwa mtoa mada, inaonekana amefika mwaka huu dar kutoka huko unyanyembe!

Nikirudi kwenye mada, juhudi hizi za kila siku za kujaribu kuudogoisha Uislamu tatizo na chanzo ni nini?!!!!
 
Kisayansi ya maumbile mtu anatakiwa ale chakula kwa kadiri mwili unavyohitaji. Kuunyima mwili chakula kwa muda mrefu ni kujitakia matatizo ya kiafya.
kuna tafiti yoyote uliyowahi kuiona ambayo inaonesha waislam wamepata madhara kwa kufunga mwezi mzima? ila zipo tafiti nyingi ambazo zinaonesha funga ya ramadhan inaimarisha afya ya mfungaji.

na tafiti hizo zinaenda sambamba kabisa na maneno ya mtume "fungeni mpate afya"

tatizo la watu wengi wasio kuwa waislam wanadhani funga ni ibada ya mateso. kuna falsafa kubwa ndani ya funga ukiachana na kujizuia kula.

ingekua msingi mkubwa wa funga ni kujizuia na kula na kunywa basi yule atakae kaa mda mrefu zaidi na njaa basi angea ndio anaoneka mbora. ila kwenye mafundisho ya uslam ipo tofauti. mbora ni yule anaechelea kula daku (yaani kwa dar hapa mpaka saa 4:45 alfajiri bado unaruhusiwa kula) na akawahisha kula ftari (yaani ile jua likikamilika kuzama tu unafungulia)

kwahiyo funga sio suala la kushinda na njaa tu (kushinda na njaa pekee ni maana nyembamba ya FUNGA kwa mujibu wa uislam)
 
Nimepita maeneo ya magomeni, ilala, kinondoni, buguruni, temeke na mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea alhamisi, ijumaa na hata leo jumamosi asubuhi.

Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za chakula hazijasitishwa mida ya mchana. Au ni kwamba waislamu ni wachache sana hapa dar?
Ndo njia nzuri ya kujipima kama funga na swaumu ni ya kweli na inapita panapotakiwa.
 
Nimepita maeneo ya magomeni, ilala, kinondoni, buguruni, temeke na mbagala na kuona biashara nyingi za chakula zikiendelea alhamisi, ijumaa na hata leo jumamosi asubuhi.

Maeneo tajwa hapo juu yalisemekana kuwa na wakazi ambao ni jamii ya kiislamu. Sasa naendelea kujiuliza kwanini biashara za chakula hazijasitishwa mida ya mchana. Au ni kwamba waislamu ni wachache sana hapa dar?
Hakuna andiko lolote linalo zuiya kuuza chakula mchana wa ramadhani
Kwa sababu kuna baadhi ya waisilamu ambao sheria,a inawaruhusu kula mchana

Msafiri
Mgonjwa
Mama mjamzito kama afiayake hairuhusu kushinda na njaa
Mama anae nyonyesha nae kama afiya yake ameruhusu kushinda njaa
Kikongwe nk pia hata wasio kuwa waisilamu wanaruhusiwa kula mchana
 
Kama uku Zanzibar migahawa bubu ipo kibao kipindi hiki cha wenye dini yao kufunga usishangae uko dar

Uku Zanzibar chakula kikiwa tayari utajulishwa kwa simu na wanaopika ni wanawake wa kiislam

Waislam wengi tu hawafungi ila jioni kwa kuwa kunw chakula cha bwerere lazima watie kandhu kutafuta biriani
Umejuaje kuwa awafungi?
 
Kwa mtazamo wa kawaida mbona wengi huwa wanaonekana kukonda baada ya kumalizika mwezi wa mfungo? Au kukonda ni uimara wa afya? Labda kama funga hii inasaidia wale wenye unene hatari na uzito mkubwa kupunguza kula ili ku regulate miili yao
 
Mbona kwaresma ipo na biashara ya chakula inaendelea nayo tuseme wakristo ni wachache au nyie hamfungi? Kama nyie hamfungi basi na waislam hawafungi
TOFAOTISHA kwaresma na ramadhani wakiristo wanafunga baadhi ya vyakula tu

Waisilamu wanafunga kula kunywa na kufanya mapenzi na mke wa ndoa mchana wa ramadhani mpaka jioni
 
Hata hao waislam kadri miaka inavyoenda wafungaji wanapungua, wameanza kuona si kitu kufunga zaidi ni imani tu. Ndio maana wengi wanaonekana wakila bila uficho.
Tangu zamani wanakwepa waisilamu wafungaji na Kakobe tangu zama labda wewe mgeni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom