Bibi harusi mtarajiwa, mama yake wafa ajalini wakielekea Kilimanjaro kwenye maandilizi ya harusi yake

Kuendesha gari high way sio lelemama.

Ni vizuiri kuwa “ Co driver” pembeni ambao mtashauriana kuhusu kuendesha kwa mwendo wa tahadhari.
 
Unafikiri mkisafiri kwenye buss ndo hamtapata ajali, hizi fikra kama zako huwa napigana nazo sana tu, hata mkipanda ndege moja kama zimefika zimefika tu,
Una elewa nilicho andika?

Kuna sehemu nimetaja ukipanda basi hutopata ajali?
 
Hivi suala la ndoa nalo linakuaga na changamoto za ajabu ajabu kumbe duuh
Sasa suala la ndoa ni la kumuonea mtu wivu na kumtakia mabaya kweli hatari sana
Husda zipo aisee, ndio maana wengine ndoa hawatangazi unashangaa tuu watu wameoana
 
Mke wako kuna kipindi umsmamie km wewe ndio baba mzazi

Yaani unampa amri na kutii hakuna maelezo

Wanawake wanatunguliza hisia hasa kwenye furaha na huzuni
 
Na hapo ulikuwa na kipande kibaya cha Mbeya - Igawa, kina barabara mbaya ina mashimo na matuta ya lami kufimba karibia sehemu nyingi...

Kingine ni kile cha Makambako - Njombe kuna baadhi ya maeneo kuna vipande vibaya vya barabara...
Ndio hivyo mkuu.UKiendesha kwa siku ya kwanza umbali mrefu hivi,inakulazimu kuwa mwangalifu sana na kutumia akili nyingi Kwaajili ya kuona upeo wa mbali wa macho.Lkk ktk yote Mungu ndio kila kitu.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…