HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Hizo zinatakiwa zisiolewedaah[emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo zinatakiwa zisiolewedaah[emoji28]
Una elewa nilicho andika?Unafikiri mkisafiri kwenye buss ndo hamtapata ajali, hizi fikra kama zako huwa napigana nazo sana tu, hata mkipanda ndege moja kama zimefika zimefika tu,
Husda zipo aisee, ndio maana wengine ndoa hawatangazi unashangaa tuu watu wameoanaHivi suala la ndoa nalo linakuaga na changamoto za ajabu ajabu kumbe duuh
Sasa suala la ndoa ni la kumuonea mtu wivu na kumtakia mabaya kweli hatari sana
Basi kuna watu hawana vitu vya kuwa shughulisha aisee ndoa ni kitu cha kumuombea mtu asipate duuuhHusda zipo aisee, ndio maana wengine ndoa hawatangazi unashangaa tuu watu wameoana
Huyo mumewe nae alifeli wapi. Mkeo mtarajiwa anasafiri mkoa m'moja kwenda mwingine unakubaliana nae badala ya kumtafutia msaada wa mtu mzoefu wa kumuendesha morogoro kwenda Kilimanjaro sio safari ndogo hiyo especially kwa mwanamke, mwanamke hawezi kaza macho safari nzima lazima atatia boko.
Wanaume hebu muwapende wake zenu ikibidi kugombana lakini una uhakika kuwa utakachomuamuru kufanya ni kwa salama yake na ustawi wake, acheni kucheka na wake zenu kwenye mambo yanayotaka userious.
Ndio hivyo mkuu.UKiendesha kwa siku ya kwanza umbali mrefu hivi,inakulazimu kuwa mwangalifu sana na kutumia akili nyingi Kwaajili ya kuona upeo wa mbali wa macho.Lkk ktk yote Mungu ndio kila kitu.Na hapo ulikuwa na kipande kibaya cha Mbeya - Igawa, kina barabara mbaya ina mashimo na matuta ya lami kufimba karibia sehemu nyingi...
Kingine ni kile cha Makambako - Njombe kuna baadhi ya maeneo kuna vipande vibaya vya barabara...
Watuambie tu kama alitaka kufunga ndoa na mstaafu au ki Ben ten.