Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
NomaaAu jamaa alimkimbia Bibi harusi mwingine?🤣🤣
Am thinking aloud
Na si Kila mtu anasema namwachia Mungu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NomaaAu jamaa alimkimbia Bibi harusi mwingine?🤣🤣
Am thinking aloud
Sema Muhusika wa shughuli siku zote anarelax anaskilizia,sema ndiyo hivyo mipango ya Mungu.Vipi kama dereva nae angefanya maamuzi hayo hayo?
Kuna shida gani?Apumzike kwa amani tu.
Nilitaka kujua imekuaje bibi hharusi wa miaka 37
Na huo ulimwengu una mambo mengi mno! Na ndo ulimwengu halisi!Ulimwengu wa Roho wa giza unamambo mengi sana...
Kama watu wangefunuliwa waone wangeweza kukwepa hali kama hiyo...
Tatizo watu Bado wanaamini uchawi/mizimu na ushirikina ..
Maagano yake ni magumu sana, unaweza usione Leo ila kizazi chako kitaipata...
Watu wengi wanateseka na maagano yaliyowekwa na wazazi wao au ukoo...
Kwasbb ya umri ndo awe na agano la kuto kuolewa?Hapa inaonyesha ana agano la kutokuolewa...
Hilo agano ndio limeondoa uhai wake...
Vita baada ya kupata...
Yes,hii ajali sio ya kawaida,watu wanachukulia kawaidaWatu wanashindwa kutafakari mambo ya msingi kwa undani.
Hujasafiri kuvuka mpaka wa nchi yako miaka yote ya uhai wako. Leo una miaka 70 unapata chance ya kuvuka mipaka unaenda kichwakichwa tu
Unaliwa kichwa huko nje.
Umeongea kitu umenifungua medulla oblongata
Wapi ? Insta? NikajioneeKuna sehemu nimesoma kuwa alikuwa anaenda kuolewa uke wenza kuwa mume aliacha kuoa ndoa na aliyekuwa naye akambwaga akaamua aoe huyo Sina uhakika kama ni kweli au la nilisoma tu mitandaoni maana mitandao habari zote za uongo na kweli pia huwemo
Ndo imeandikwa wapi mkuu? Kumbe Kuna umri maalumu?Ana negative ya miaka 15
Watu Kuna vitu Huwa wanavichukulia poa sn!Hata mie nimehisi hivyo, thinking deep kwenye ulimwengu wa roho kuna mambo yalikuwa tayari yanaendelea hata sisi tulishauriwa kuwa makini sana kuelekea siku ya tukio. Vita ni kubwa sana ukizingatia kuna ambao wanaweka ngumu ili usioe au kuolewa wanatumia njia yeyote ile ili mkwame tu.
Ndo imeandikwa wapi mkuu? Kumbe Kuna umri maalumu?
Kufa ni faida km mahusiano na huyo unaemuendea yalikuwa vzr au ulikuwa tayari Kwa wakati wowote🙌Nayaona makosa ya kiufundi . Any way kuishi ni Kristo na kufa ni faida, mwendo ameumaliza imani ameilinda wapumzike kwa amani.
Hakuna Sheria ya kuoa,kuolewa,usitudanganye mkuuSheria zipo za nchi na za umma.
Binti anapaswa aolewe akiwa na miaka 22 ili kupata circle nzuri ya kizazi katika jamii
Hivi uwa ni kwanini?Hata mie nimehisi hivyo, thinking deep kwenye ulimwengu wa roho kuna mambo yalikuwa tayari yanaendelea hata sisi tulishauriwa kuwa makini sana kuelekea siku ya tukio. Vita ni kubwa sana ukizingatia kuna ambao wanaweka ngumu ili usioe au kuolewa wanatumia njia yeyote ile ili mkwame tu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]R.i.P Classmates....[emoji26]
Yaani watu Wana vituko humu,eti umri umeenda,sijui umeenda wapi na Kwa mujibu wa nani?Umeenda sana kwa mujibu wa nani mkuu, mwanamke yupo umri wa kawaida kabisa, halafu huwezi jua, jamaa nae yupo labda 40s au 50s so it was a perfect match.
Ndoa na umri vina uhusiano gani? Wanaolewa hata wajane wa miaka 50.Miaka 37 unaolewa kwenda wapi?
Inakuwaje unaoa mtu wa miaka 37?
NAKAZIAUdereva wa kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine sio kama town
Duh huyo Mungu kamtetea aiseeHivi uwa ni kwanini?
Kuna hii harusi ya mtu wangu wa karibu..
Sendoff imefanyika ikaisha salama.
Bwana harusi anarudi mkoa wake kusubiri siku ya harusi wakapata ajali njiani….. akavunjika mkono na yeye peke ake ndiye aliumia ktk hiyo gari…hapakuwa tena na sherehe, ila Mungu ni mwema akapona kiasi ya kutosha kufunga tu ndoa Kanisani na kupiga picha akiwa na pop yake mkononi 🥹
Hakunaga hii kitu Mungu ana mipango yake unaweza lazimisha mambo kabla ya muda ikala kwako pia!Ndio kuna umri maalumu