Bibi harusi mtarajiwa, mama yake wafa ajalini wakielekea Kilimanjaro kwenye maandilizi ya harusi yake

Mimi kuna kipindi nilikuwa naota ndoto za ajabu na kutisha, kumbe kulikuwa na mtu nyuma ya pazia, ila alichokipata hata kaa asahau. Ila maombi ni muhimu sana.
 
Yaani Tena barabara ya Kondoa ilivyo na Kona Kona mweee acha kabisa,ukimaliza Kondoa km unaelekea manyara kuna Kona Kali Fulani hv pale mweee acha tuuu
 
Watu wanajifanya wabishi ila uchawi upoo na watu wanaroga na kurogwa haswaa..hapo ukute kati Yao Kaacha mtu kampotezea muda kaenda kuoa kungine we Unadhani nini kitatokea
Sio Kila mtu anamuachia Mungu tunaemuamini sisi Kuna watu Wana miungu Yao hyoo ya ajabu ajabu
 
Pole kwa wanafamilia[emoji174]
 
Itakua alikata kona zile za kolo kwa speed halafu sio mzoefu ...gari ikamshinda
 
Akishajua kuendesha siku anasafiri nalo anakimbia hajui barabara vizuri pia bumps ziko wapi...hamadi bumps anapaa nayo mnamkuta juu ya mti
 
Hivi suala la ndoa nalo linakuaga na changamoto za ajabu ajabu kumbe duuh
Sasa suala la ndoa ni la kumuonea mtu wivu na kumtakia mabaya kweli hatari sana
Unapotangaza kuoa tu tayari kuna signal inakwenda kwenye ulimwengu wa roho na wako watu hawatafurahia hilo. Hila zinakuwa nyingi maana kuna milango ya baraka hufunguliwa baada ya ndoa kufungwa tu. Mtajaliwa watoto ambao nao wanakuja kufungua milango ya mafanikio yenu zaidi hapo ndipo shida huanzia.

Kunae mtu tu ambaye hatapenda ambao wengine sio binadamu wa kawaida tunaowajua na kwa lifestyle ya hovyo ya watu wengi sikuhizi unakuta mwengine yuko possesed na spiritual husband or wife. Sababu ya kugongana hovyo tunabebaga maroho machafu toka kwa watu bila kujijua.

Ikitokea una spirits zimekupossess ambapo wengi hatujuagi, kuoa au kuolewa inakuwa ngumu mahusiano yakikaribia ndoa unajikuta yamevunjika au umeachwa. Ukimzidi kete kabisa ndio hayo unashangaa imetokea ajali mmoja wenu kasepa hapo ndipo mwisho wa habari. Misuko suko haiishi mara mume kapoteza kazi ghafla yote haya ni sababu ya spiritual husband or wife.
 
Ni Kweli mkuu,siku ya kwanza mimi niliendesha gari kutoka Tunduma (Songwe) hadi Njombe maeneo ya Ludewa aisee sitasahau siku ile Yaani nilisali sana kuomba Mungu aniongoze,na nilijitahidi kwa Msaada wa Mungu kufika kule lkn nilikuwa nimechoka sana.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…