"Bibi Nisamehe...Najuta"

Na wewe leo umekuwa CCM?

Kweli, HapaKaziTu.

Huko hunipeleki kwa sasa. Nnaiheshimu sheria ya mtandao ya kutoeneza chuki za kidini kama ufanyavyo.

Hatum-judge mtu kwa dini yake tunam-judge mtu kwa vitendo vyake.

Wengi humu ni wanaCCM ila tuliondoka baada ya Wanamtandao kuteka Chama kiasi kwamba Matusi yalikuwa ni sifa ya kupata Cheo na kuonekana ndio unatetea chama.Kwa sasa akili imeshakujia na kujitambua kwamba Mwl.Nyerere ndie Mwasisi wa CCM na ni Baba wa Taifa letu.Heshima ya Chama sasa itarudi kama Enzi ya Baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere.HAPA KAZI TU.
 

Lowassa vipi? Akili imeshamjia au bado ni zezeta la Mbowe?

Nimefurahi kusikia kuwa akili imekurudia na umerudi njia kuu. Kumbe ulichepuka tu ukakumbwa na mafuriko na dole limekurudisha!
 
Lowassa vipi? Akili imeshamjia au bado ni zezeta la Mbowe?

Nimefurahi kusikia kuwa akili imekurudia na umerudi njia kuu. Kumbe ulichepuka tu ukakumbwa na mafuriko na dole limekurudisha!

Ajuza wa Lumumba mgawa wima .... Upo?
 
Lowassa vipi? Akili imeshamjia au bado ni zezeta la Mbowe?

Nimefurahi kusikia kuwa akili imekurudia na umerudi njia kuu. Kumbe ulichepuka tu ukakumbwa na mafuriko na dole limekurudisha!
Lowasa ndio walewale walioanzisha kundi la Mtandao ndani ya CCM.Kundi ambalo liliwaibua nyie na kuanza kuwatukana mpaka waasisi wa Taifa letu.Kundi ambalo liliendekeza siasa za Udini,Ukabila na Uswahiba.Mungu mkubwa amewapa pigo moja na mkafarakana hatimaye Rais wetu Mpendwa John Pombe Joseph Magufuli akapita katikati yenu na kuapishwa.Matusi yote mliyokuwa nayo inabidi myafungie Kabatini Milele maana baada ya Miaka Kumi ya Magufuli hakuna Mitandao wala Ujanjaujanja utakaomwingiza yeyote Madarakani.
 

Nimefurahi sana kuona umebadilika haraka sana na umerudi njia kuu.

Kumbe ulikuwa na kiherehere tu.
 
Nimefurahi sana kuona umebadilika haraka sana na umerudi njia kuu.

Kumbe ulikuwa na kiherehere tu.

Kwa kweli lazima watu wenye UBAGUZI WA KIDINI NA KIKABILA wajirekebishe maana Sasa ni kazi tu.Sijajua kama umeacha kutetea Magaidi maana ulikuwa Kero.Habari mbaya kwako ni kwamba JIHAD JOHN KAUWAWA NA DRONES ZA MAREKANI.
 
I see u you look as confused as dumb!
 
Cheo kikubwa sana hicho bahati mbaya si changu.

Vipi, wewe ni wale wale? maana naona unajiita mchambuzi, unachambuwa kama karanga?

Nimecheka kweli kwa jibu hilo......eti unachambua km karanga ....... lmfao
 
Siji kukutembelea tena....kujivicha ukondoo wakati we nifisi kwa hilo moja tu limehalarisha magufuli kuwa kiongozi safi!?!? Najuta kuona huu uzi
 
Yani hapa kinacho shangaza ni(KKB)Kula Kulala Bure,baaada ya kushiba wali na maharage ya Bi FaizaFoxy Ana kaa na kulala mika kuwa kapoteza kura yake,mimi nahisi kuwa ange kuwa kapewa mimba na mtoto wa Bi FaizaFoxy ama mangi wa pale kibanda cha nyanya chungu na muhusika kuikana hiyo mimba na Bi FaizaFoxy kumfukuza nyumbani kwake na kumrudisha kwao IGUNGA,alafu hapo hapo aanze kuwa na majukumu ya kulea mimba na kujilea yeye mwenyewe huku baba na mama nao waki muangalia yeye na wadogo zake walio kosa kwenda shule kwa kukosa mkopo wote wakiwa Wana mtazama yeye kwa kuja kuongeza Familia na bado wakati wa kujifunguwa haujafika aka enda hospital aka ambiwa hakuna wauguzi wakutosha wala duka la dawa la kijiji halina dawa Bali ni mazalia ya panya,hapo ndo angejuwa kuwa hakupoteza kitu......
 
Na yeye mwenyewe faiza bado atamjibu "mbele kwa mbele?" au atamjibu fanya tena 2020 ntakuwa nyuma yako?
 
Another ninja now....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…