Na wewe leo umekuwa CCM?
Kweli, HapaKaziTu.
Huko hunipeleki kwa sasa. Nnaiheshimu sheria ya mtandao ya kutoeneza chuki za kidini kama ufanyavyo.
Hatum-judge mtu kwa dini yake tunam-judge mtu kwa vitendo vyake.
Wengi humu ni wanaCCM ila tuliondoka baada ya Wanamtandao kuteka Chama kiasi kwamba Matusi yalikuwa ni sifa ya kupata Cheo na kuonekana ndio unatetea chama.Kwa sasa akili imeshakujia na kujitambua kwamba Mwl.Nyerere ndie Mwasisi wa CCM na ni Baba wa Taifa letu.Heshima ya Chama sasa itarudi kama Enzi ya Baba wa Taifa Mwl.Julius Kambarage Nyerere.HAPA KAZI TU.