huyo Bibi Wala hana hiyo miaka waliyoitajaTutakuja kuamini umri huu tukiwekewa record za kanisani hapa(cheti cha ubatizo au register ya kanisani.Hakuna records zenye uhakika kama za wakatoriki.zina uhakika kuliko za government.
Soma post mpaka mwishoKuna record yoyote inaonyesha ana huo umri?
huyo Bibi Ni Bibi yake babu yang na babu Wang Ni wapili kuzaliwa ana dada yake Siyo mchezo Yaani na hiyo miaka waliyomuandikia siyoMmhh nipatie maandazi mkuu
😥😥ooh bibi nitammiss Sana nakumbuka Ni Bibi aliekuwa mchesh siku zote anakumbuka u asikwambie mtu na siku zote mnajua Kama mtu akizeka Sana anakuwa Kama mtoto alikuwa anapenda tukimpelekea zawad
Na huyo mjukuu wake wa 78 anaemfata Ni babu yangu (rip) tulimzika mwaka Jana
Bibi alikuwa so funny na tulikuwa tunajivunia Sana alikuwa na watoto 9 wajukuu 92 vitukuu 300 Yan historia yake ilikuwa ndefu kwel tulimzika Jumamos na Kila mtu alikuwa na furaha hamna wakulia tuliimba tulifurah maana Bibi mwenyewe alikuwa anasema "jina lake limepotea kwenye vitabu vya mungu😄"vitukuu na vilembwe tulikiwa Kama wotee Yani
Na hakuwa anaumwa ugonjwa wowte Bali jumanne tuliamka na kukuta Mungu kampenda zaidi
Pumzika kwa amani Bibi suzan kwa jina maarufu Kama Bibi Mateti
Asante mkuu kwakwel tulijivunia kuwa naeOoh,poleni sana
Record inatoka vitabu vya ubatizo vya wamisionary wa kijerumani walioingia miaka ya 1880 huko Moshi.Kuna record yoyote inaonyesha ana huo umri?
Hakuna records zenye uhakika kama za wakatoriki.zina uhakika kuliko za government.
Amen[emoji120][emoji26][emoji26]ooh bibi nitammiss Sana nakumbuka Ni Bibi aliekuwa mchesh siku zote anakumbuka u asikwambie mtu na siku zote mnajua Kama mtu akizeka Sana anakuwa Kama mtoto alikuwa anapenda tukimpelekea zawad
Na huyo mjukuu wake wa 78 anaemfata Ni babu yangu (rip) tulimzika mwaka Jana
Bibi alikuwa so funny na tulikuwa tunajivunia Sana alikuwa na watoto 9 wajukuu 92 vitukuu 300 Yan historia yake ilikuwa ndefu kwel tulimzika Jumamos na Kila mtu alikuwa na furaha hamna wakulia tuliimba tulifurah maana Bibi mwenyewe alikuwa anasema "jina lake limepotea kwenye vitabu vya mungu[emoji1]"vitukuu na vilembwe tulikiwa Kama wotee Yani
Na hakuwa anaumwa ugonjwa wowte Bali jumanne tuliamka na kukuta Mungu kampenda zaidi
Pumzika kwa amani Bibi suzan kwa jina maarufu Kama Bibi Mateti
Afrika tunashindwa mambo madogo sana, naamini huyu bibi hakuwa anajulikana baina ya watu wengi. Ilibidi tumtangaze sana, sidhani hata kama ana mahojiano ambayo yamechapishwa.
Apumzike kwa amani.
Ndio maana watu wengine wanakosa radhi... huyu bibi kule kwetu tungeshamkata shingo au kumchomea ndani siku nyingi sana maana tunaamini wanakuwaga wachawi! Jamani ndivyo tunavyoamini sisi usiniulize kwanini ndio imani yetu.
Media za bongo wao news ni shilole kapata bwana mpya au Diamond karudiana na Zari wao ndio wanaona ni habari vitu vya muhimu hata hawavipi kipaumbeleWabongo banaa sijui tukoje.
Bibi alipokua hai hakuna aliehangaika kuufahamisha ulimwengu kua bibi yetu ndio binaadamu mwenye umri mrefu zaidi duniani kwa kipindi hicho, Ilya baada ya kufariki ndio tunaanza kusikia makelele kila kona.
Muacheni bibi apumzike kwa amani.
Hio rekodi haina yoyote kwake kwa sasa kama mlishindwa kumpogania kipindi akiwa hai.
Media zetu hawataki hizi habari wao wakina millad Ayo wanapenda habari kama ile ya juzi ya yule mama aliyefumaniwa ndio wanaona ni habariAsante kwa taarifa hii muhimu na kwa kweli waafrika inabidi tujifunze kujua tunu zetu na kuzitangaza. Kuna mambo mazuri na makubwa sana Afrika ila tumeaminishwa kuwa vyakwetu havina maana, SIYO KWELI!