kifinga
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 5,249
- 9,539
Na kiburu mkuuNgoja nianze kushindia mtori na mbege
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kiburu mkuuNgoja nianze kushindia mtori na mbege
Anatokea Zambia anaitwa Godfrey Chitalu akipiga goli 108 ndani ya msimu mmoja.Kuna mchezaji flani simkumbuki anatokea nchi fani Africa wanasema anarekodi ya kufunga magoli mengi kupata kutokea, ila FIFA hawana taarifa hiyo kwayi hatambuliki. This is Africa!!
Kwa mujibu wa wizara ya afya mkoa wa Kilimanjaro ndio mkoa unaoongoza kwa kuwa na wazee wengi hivyo ni mkoa wa kwanza kuwa na life expectancy kubwaHuyu hapa mwingine nae ni mchaga, inaonekana wana history ya kuishi umri mrefu. Viva Chaggas View attachment 1465342
Unaambiwa record za umri wake zipo katika orodha ya watu waliobatizwa mwaka 1893 hapo Kijiji kwaoTutakuja kuamini umri huu tukiwekewa record za kanisani hapa(cheti cha ubatizo au register ya kanisani.Hakuna records zenye uhakika kama za wakatoriki.zina uhakika kuliko za government.
Kuna evidence zisizotia shaka kuthibitishahuyo Bibi Wala hana hiyo miaka waliyoitaja
Hawasomi Hadi mwisho wa habari ?Record inatoka vitabu vya ubatizo vya wamisionary wa kijerumani walioingia miaka ya 1880 huko Moshi.
Soma habari hadi mwishoHivi uongo kama huo una faida gani!
...Hivi sisi wenyewe Watanzani so tulipaswa kuwapelekea Guineas Records taarifa za Bibi huyu ambapo sana sana wangetaka tj uthibitisho na Bibi na Tanzania ikatangazika kidunia?
Tunakuwa tunakoseaga wapi?
"Baada ya Berlin Conference mwaka 1984/85 Tanganyika ilipewa Ujerumani....."
Hii Berlin ya mwaka tajwa itakuwa kikao cha familia
Sent using Jamii Forums mobile app
That's right, lakini kwenye paper hakuna hiyo assumption. Sometimes ni muhimu sana kuhakiki kabla ya kupost ili kupunguza makosa madogo madogo ya kiuandishi.Hapo alimaamisha 1884/85 amekosea tu...
That's right, lakini kwenye paper hakuna hiyo assumption. Sometimes ni muhimu sana kuhakiki kabla ya kupost ili kupunguza makosa madogo madogo ya kiuandishi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah huyohuyo mkuuAnatokea Zambia anaitwa Godfrey Chitalu akipiga goli 108 ndani ya msimu mmoja.
Sent using Jamii Forums mobile app