TANZIA Bibi Susana Benjamin Mmary, binadamu aliyeishi miaka mingi zaidi Duniani kutokea Tanzania

TANZIA Bibi Susana Benjamin Mmary, binadamu aliyeishi miaka mingi zaidi Duniani kutokea Tanzania

Bi Susan Mmari
IMG-20200601-WA0106.jpg
 
Vitabu vya zamani vya makanisa vinakubalika kama valid sources Guiness Book of Records.

Ila miaka 131 ni ngumu kumeza kwa kweli.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
... huyu bibi kule kwetu tungeshamkata shingo au kumchomea ndani siku nyingi sana maana tunaamini wanakuwaga wachawi! Jamani ndivyo tunavyoamini sisi usiniulize kwanini ndio imani yetu.
Hahaha naona una utani wa ngumi na Hawa wapanda fisi wa gamboshi kina Manelezu
nizakale
 
Tutakuja kuamini umri huu tukiwekewa record za kanisani hapa(cheti cha ubatizo au register ya kanisani.Hakuna records zenye uhakika kama za wakatoriki.zina uhakika kuliko za government.
Unaambiwa record za umri wake zipo katika orodha ya watu waliobatizwa mwaka 1893 hapo Kijiji kwao
Wajerumani walipofika kueneza injili

Soma paragraph ya mwisho
 
...Hivi sisi wenyewe Watanzani so tulipaswa kuwapelekea Guineas Records taarifa za Bibi huyu ambapo sana sana wangetaka tu uthibitisho na Bibi na Tanzania ikatangazika kidunia?
Tunakuwa tunakoseaga wapi?
 
Shida tunapenda mambo mengi yasiyo ya msingi TV zinaenda kuhoji kina Amber Ruty ishu ka hii ingeafatiliwa bibi kabla hajafa angekua Guiness sa hizi
...Hivi sisi wenyewe Watanzani so tulipaswa kuwapelekea Guineas Records taarifa za Bibi huyu ambapo sana sana wangetaka tj uthibitisho na Bibi na Tanzania ikatangazika kidunia?
Tunakuwa tunakoseaga wapi?
 
Nyuzi kama hizi hutumika kwa matumizi mbalimbali ikiwa ni pamoja na kujifunza, hivyo basi nishauri uweke kumbukumbu sawa za mwaka wa Berlin Conference, kwani Mkutano huu ulifanyika 1884/1885 na sio mwaka ulioandika hapo juu.
 
Back
Top Bottom