TANZIA Bibi Susana Benjamin Mmary, binadamu aliyeishi miaka mingi zaidi Duniani kutokea Tanzania

Huu utaratibu wa kusubiri mpaka vikongwe wafwa ndo tuwasifie umri wao haujakaa sawa!

Tumefanya mistake kwa bibi yetu huyu, haya tusifanye mistake tena kwa huyu Bwana Humphrey Slow Slow (Chakubanga) wa Lumumba,

Tujitahidi tumtangaze kwenye platforms zote, dunia ifahamu The oldest living human specie is in Tanzania, healthy and strong! Cha kustajaabisha ni kuwa bado hajakamilisha evolution kuwa Homo Sapiens, bado yupo kwenye stage ya Homo Erectus, sasa guess age yake!
 
Mmeandika historia yake? Simulizi kuhusu ukoloni na wamisionali alizowasimulia mmezihifadhi vizuri?

Wazee Kama hawa ndio tool muhimu ya kurekebisha historia ya nchi zetu maana iliandikwa kwa mlengo wa wakoloni
 
ipo inaandaliwa vizuri na wanaukoo Ni historia nzuri na ndefu pia ikikamilika wanaitoa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…