Bibi Titi Mohammed: Historia, harakati na wasifu wake

Bibi Titi Mohamed, mwanamke aliyesimama jukwaa moja na Mwalimu Nyerere kupigania uhuru wa Tanganyika.

82ebd649d6dfb6d80948631e0aa27616.jpg

0fa309a1fc29cf898735cf4d00867b29.jpg

Sikuwahi kujua kumbe ile bara bara ya Bibi titi na Mohamed alipewe huyu mama..

Mjue zaidi hapo..[emoji116]

Bibi Titi Mohammed: Historia, harakati na wasifu wake
Alipewa kwani yake? sema ilipewa jina la huyu mama maana nduguze wakisikia kuwa alipewa waeza enda idai.
 
Naskia huyu mama aliwahi kupanga mapinduzi ya JkN..
Mwenye ufahamu au aliyekuwa hai enzi hizo atujuze kama ni kweli
 
Nimemtazama sana kwenye picha ya juu akiwa na Nyerere jukwaani. Kwa kuwa hili ni jukwaa la mapicha niseme wazi kuwa aammmhh nimependa gauni lake
 
Naskia huyu mama aliwahi kupanga mapinduzi ya JkN..
Mwenye ufahamu au aliyekuwa hai enzi hizo atujuze kama ni kweli
Siyo kweli,zile zilikuwa mbinu za Nyerere kuwakomoa wakosoaji.Nyerere na Bibi Titi wakijuana na kupendana mnoo,kosa la Titi ni kule kumjua sana Nyerere na kutetea jumuiya ya watu waliokuwa wakimtambua Prince Aghakan kama mlezi wake.Hayo ya mapinduzi ni sawa na kumuita Tundu Lissu msaliti ilihali ndo mzalendo wa kweli.Ukimsoma George Orwell katka shamba la wanyama utagundua kumbe Snowball alikuwa poa zaidi ya Napoleon lakini madaraka haya,mh mamaangu weee
 
Ni kweli alitaka kumpindua Mwl Nyerere, mbinu zake zikabainika!
 
Huu ni uwanja wa Mohamed Said
Otoro...
Hakika nakijua kisa kizima cha Bi. Titi Mohamed kuanzia siku ya kwanza alipojuana
na Nyerere baada ya kuasisiwa kwa TANU 1954.

Nafahamu pia vipi Bi. Titi Mohamed alivyomuunga mkono Mwalimu Nyerere pale
mwaka 1958 Sheikh Suleiman Takadir alipogombana na Nyerere katika yaliyotokea
baada ya uchaguzi wa wajumbe wa kusimama kwa tiketi ya TANU katika Kura Tatu 1958.

Sheikh Suleiman Takadir alitaka kujua hatima ya Waislam katika Tanganyika huru.

Nafahamu pia siku Bi. Titi Mohamed walipombana na Nyerere katika Halmashauri Kuu ya
TANU pale Suleiman Kitundu na Rajab Diwani alipotoa hoja ya kuivunja East African
Muslim Soiciety (EAMWS).

Nina mengi na ukipenda kuyasoma hayo yote soma kitabu cha Abdul Sykes si rahisi yote
kuyaeleza hapa.
 
Mkuu mimi nayajua pia kupitia kitabu chako hiki,ninacho nilikinunua pale TPH bookshop.Hakika nilpata ilimu ya uhakika sana ingawa bado nina kiu ya kukutana na wewe siku moja.Kabla ya yote,niombe kuuliza mambo mawili.Moja,ilikuwaje barabara ya kuelekea Pugu na Kisarawe ipitie Mliman chuo kikuu? Pili,ni nini ilikuja kuwa hatma ya Abdul Abbas wa Bukoba?
 
Always on time!! Safi sana mzee.
 
Nafahamu pia vipi Bi. Titi Mohamed alivyomuunga mkono Mwalimu Nyerere pale
mwaka 1958 Sheikh Suleiman Takadir alipogombana na Nyerere katika yaliyotokea
baada ya uchaguzi wa wajumbe wa kusimama kwa tiketi ya TANU katika Kura Tatu 1958.

Sheikh Suleiman Takadir alitaka kujua hatima ya Waislam katika Tanganyika huru.
.
Hivi ilikuwaje hao akina Suleiman Takadir kumchagua Nyerere wa kutoka huko ndani ndani kuwa kiongozi wao wa Tanu?
 
Kwa haraka haraka tu nimetambua kweli huenda kuna mapungufu yalitokea juu ya uongozi ila upande wa pili ndiyo ulikuwa ushindi wa ubaguzi wa kidini na kikabila sidhani kama wakristo na waislam wala makabila yote 120 tungekuwa pamoja
 
.
Hivi ilikuwaje hao akina Suleiman Takadir kumchagua Nyerere wa kutoka huko ndani ndani kuwa kiongozi wao wa Tanu?
Chamoto,
Aliyemchagua Nyerere kuongoza mapambano dhidi ya Waingereza
hakuwa Sheikh Suleiman Takadir.

Uamuzi wa kumtia Nyerere katika harakati za kumtia Nyerere katika
harakati za TAA, Dar es Salaam na kuunda TANU ulifanywa nyumbani
kwa Hamza Mwapachu, Nansio mwaka wa 1953.

Katika kikao kile walikuwa Hamza Mwapachu, Abdul Sykes alyekuwa
Secretary na Act. President wa TAA na Ali Mwinyi Tambwe secretary
wa Al Jamiatul Islamiyya fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika).

Hamza Mwapachu na Abdul Sykes ndiyo waliofanya uamuzi wa kumchagua
Nyerere kuwa kiongozi wa TAA kwa kumchagua kuwa rais na 1954 wakaunda
TANU.

Ingia hapo chini kwa habari zaidi:
Mohamed Said: KISA CHA ALI MWINYI TAMBWE NA KITWANA SELEMANI KONDO 1950s
 
Mkuu mimi nayajua pia kupitia kitabu chako hiki,ninacho nilikinunua pale TPH bookshop.Hakika nilpata ilimu ya uhakika sana ingawa bado nina kiu ya kukutana na wewe siku moja.Kabla ya yote,niombe kuuliza mambo mawili.Moja,ilikuwaje barabara ya kuelekea Pugu na Kisarawe ipitie Mliman chuo kikuu? Pili,ni nini ilikuja kuwa hatma ya Abdul Abbas wa Bukoba?
Balibaba...
Wakati ule hiyo ndiyo ilikuwa njia ya kwenda Pugu.
Huyu Abdul Abbas simfahamu.
 
Back
Top Bottom