Hata mimi nilisikiaga hivo, mwenye taarifa kamili atupe.Baadae tena akashikwa tama akataka kumtanguliza mbele za haki
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi nilisikiaga hivo, mwenye taarifa kamili atupe.Baadae tena akashikwa tama akataka kumtanguliza mbele za haki
Alipewa kwani yake? sema ilipewa jina la huyu mama maana nduguze wakisikia kuwa alipewa waeza enda idai.Bibi Titi Mohamed, mwanamke aliyesimama jukwaa moja na Mwalimu Nyerere kupigania uhuru wa Tanganyika.
![]()
![]()
Sikuwahi kujua kumbe ile bara bara ya Bibi titi na Mohamed alipewe huyu mama..
Mjue zaidi hapo..[emoji116]
Bibi Titi Mohammed: Historia, harakati na wasifu wake
Naskia huyu mama aliwahi kupanga mapinduzi ya JkN..
Mwenye ufahamu au aliyekuwa hai enzi hizo atujuze kama ni kweli
Duh kwahio ni fitina tu alifanyiwa huyu bibi??Usiziamini sana siasa, watawala wengi wana style za kujisingizia kupinduliwa ili kuwaadabisha wanaomletea choko choko.
Duh kwahio ni fitina tu alifanyiwa huyu bibi??
Siyo kweli,zile zilikuwa mbinu za Nyerere kuwakomoa wakosoaji.Nyerere na Bibi Titi wakijuana na kupendana mnoo,kosa la Titi ni kule kumjua sana Nyerere na kutetea jumuiya ya watu waliokuwa wakimtambua Prince Aghakan kama mlezi wake.Hayo ya mapinduzi ni sawa na kumuita Tundu Lissu msaliti ilihali ndo mzalendo wa kweli.Ukimsoma George Orwell katka shamba la wanyama utagundua kumbe Snowball alikuwa poa zaidi ya Napoleon lakini madaraka haya,mh mamaangu weeeNaskia huyu mama aliwahi kupanga mapinduzi ya JkN..
Mwenye ufahamu au aliyekuwa hai enzi hizo atujuze kama ni kweli
Ni kweli alitaka kumpindua Mwl Nyerere, mbinu zake zikabainika!Siyo kweli,zile zilikuwa mbinu za Nyerere kuwakomoa wakosoaji.Nyerere na Bibi Titi wakijuana na kupendana mnoo,kosa la Titi ni kule kumjua sana Nyerere na kutetea jumuiya ya watu waliokuwa wakimtambua Prince Aghakan kama mlezi wake.Hayo ya mapinduzi ni sawa na kumuita Tundu Lissu msaliti ilihali ndo mzalendo wa kweli.Ukimsoma George Orwell katka shamba la wanyama utagundua kumbe Snowball alikuwa poa zaidi ya Napoleon lakini madaraka haya,mh mamaangu weee
Otoro...Huu ni uwanja wa Mohamed Said
Mkuu mimi nayajua pia kupitia kitabu chako hiki,ninacho nilikinunua pale TPH bookshop.Hakika nilpata ilimu ya uhakika sana ingawa bado nina kiu ya kukutana na wewe siku moja.Kabla ya yote,niombe kuuliza mambo mawili.Moja,ilikuwaje barabara ya kuelekea Pugu na Kisarawe ipitie Mliman chuo kikuu? Pili,ni nini ilikuja kuwa hatma ya Abdul Abbas wa Bukoba?Otoro...
Hakika nakijua kisa kizima cha Bi. Titi Mohamed kuanzia siku ya kwanza alipojuana
na Nyerere baada ya kuasisiwa kwa TANU 1954.
Nafahamu pia vipi Bi. Titi Mohamed alivyomuunga mkono Mwalimu Nyerere pale
mwaka 1958 Sheikh Suleiman Takadir alipogombana na Nyerere katika yaliyotokea
baada ya uchaguzi wa wajumbe wa kusimama kwa tiketi ya TANU katika Kura Tatu 1958.
Sheikh Suleiman Takadir alitaka kujua hatima ya Waislam katika Tanganyika huru.
Nafahamu pia siku Bi. Titi Mohamed walipombana na Nyerere katika Halmashauri Kuu ya
TANU pale Suleiman Kitundu na Rajab Diwani alipotoa hoja ya kuivunja East African
Muslim Soiciety (EAMWS).
Nina mengi na ukipenda kuyasoma hayo yote soma kitabu cha Abdul Sykes si rahisi yote
kuyaeleza hapa.
Always on time!! Safi sana mzee.Otoro...

.Nafahamu pia vipi Bi. Titi Mohamed alivyomuunga mkono Mwalimu Nyerere pale
mwaka 1958 Sheikh Suleiman Takadir alipogombana na Nyerere katika yaliyotokea
baada ya uchaguzi wa wajumbe wa kusimama kwa tiketi ya TANU katika Kura Tatu 1958.
Sheikh Suleiman Takadir alitaka kujua hatima ya Waislam katika Tanganyika huru.
Mzee baba alimuacha salama kweli huyu bi mkubwa...!?Bibi Titi Mohamed, mwanamke aliyesimama jukwaa moja na Mwalimu Nyerere kupigania uhuru wa Tanganyika.
![]()
![]()
Sikuwahi kujua kumbe ile bara bara ya Bibi titi na Mohamed alipewe huyu mama..
Mjue zaidi hapo..[emoji116]
Bibi Titi Mohammed: Historia, harakati na wasifu wake
Chamoto,.
Hivi ilikuwaje hao akina Suleiman Takadir kumchagua Nyerere wa kutoka huko ndani ndani kuwa kiongozi wao wa Tanu?
Balibaba...Mkuu mimi nayajua pia kupitia kitabu chako hiki,ninacho nilikinunua pale TPH bookshop.Hakika nilpata ilimu ya uhakika sana ingawa bado nina kiu ya kukutana na wewe siku moja.Kabla ya yote,niombe kuuliza mambo mawili.Moja,ilikuwaje barabara ya kuelekea Pugu na Kisarawe ipitie Mliman chuo kikuu? Pili,ni nini ilikuja kuwa hatma ya Abdul Abbas wa Bukoba?
Ndiyo, ni kwa heshima yake, mi wajukuu zake tumecheza nao mpira pale zanaki (miaka hiyo).Sikuwahi kujua kumbe ile bara bara ya Bibi titi na Mohamed alipewe huyu mama..