Bibi Titi Mohammed, Mwanamke anayetajwa kumtikisa Nyerere na kupewa Kesi ya Uhaini

Historia nzuri kumbe siku zote nyerere hajawahi kua na rafiki wa milele, kila mtu maarufu wali tofoutiana aliogopa kuzidiwa umaarufu na wengine.
Nina uhakika wale waliokuwa viongozi wa TAA walijutia sana kitendo chao cha kumpa uongozi maana alihakikisha baada ya uhuru alipiga chini wote na akaibuka na mtu wake ambaye sijui hata alimuokota wapi(Kawawa) ambaye alimfanya kuwa kama msukule wake.
 
Uyo mama alikuwa na udini, uo umoja aliokuwa ana ung'ang'ania ndo ulimcost. Nyerere ni kiongozi ambae alikuwa na maono ya mbali,
 
Kumbe Martin wakati mwingine unakuwaga na akili.Mi nilidhani we ni boga muda wote
 
Ingeletwa historia hii na yule mzee dully,ingepindishwa kuondoa majina ya wakristo na kuweka ya kiislamu,mzee hovyo sana yule.
Mzee yule akili zake mbovu sana.Sijui ana shida gani.Utasikia alinikaribisha kwakwe,swala ya adhuhuri tukaswali alafu anaendelea
 
Halafu kuna dhehebu flani linapiga debe eti awe mtakatifu.kutafuta sifa.
Hili napinga labda awe mtakatifu wa siasa.
 
nyerere kumbe hakuwa mtu mzuri .alikuwa dictator ukipingana naye tu anakuona adui yake ,alijiona mungu mtu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…