Bibi Titi Mohammed, Mwanamke anayetajwa kumtikisa Nyerere na kupewa Kesi ya Uhaini

Bibi Titi Mohammed, Mwanamke anayetajwa kumtikisa Nyerere na kupewa Kesi ya Uhaini

Kumbe kupelekwa shule kunamfanya mtu awe kafiri hahahaha wavaa makobazi
 
Kosa huruma ya Nyerere sheria ilikuwa inamtaka kufungwa kifungo cha maisha baada ya kukutwa na hatia.

Ashukuru Nyerere alitumia utu kumuchia huru na kumruhusu aendelee na shughuli za kisiasa. Yeye mwenyewe alikiri kuwa alikuwa na mapepe ya kisiasa.
 
Back
Top Bottom