ILAN RAMON JF-Expert Member Joined Sep 10, 2013 Posts 9,698 Reaction score 4,488 May 19, 2024 #41 Kumbe kupelekwa shule kunamfanya mtu awe kafiri hahahaha wavaa makobazi
Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 May 19, 2024 #42 Father of All said: View attachment 2788576 Click to expand... Father... Namweleza Bibi Titi katika uhamsishaji Tanganyika na baadae Kenya kuisaidia KANU ya Jomo Kenyatta aliyekuwa kifungoni Kapenguria na viongozi wenzake wa juu: View: https://youtu.be/j2_JpqAXeBs?feature=shared
Father of All said: View attachment 2788576 Click to expand... Father... Namweleza Bibi Titi katika uhamsishaji Tanganyika na baadae Kenya kuisaidia KANU ya Jomo Kenyatta aliyekuwa kifungoni Kapenguria na viongozi wenzake wa juu: View: https://youtu.be/j2_JpqAXeBs?feature=shared
Mohamed Said JF-Expert Member Joined Nov 2, 2008 Posts 21,967 Reaction score 32,074 May 20, 2024 #43 jiwe angavu said: Ingeletwa historia hii na yule mzee dully,ingepindishwa kuondoa majina ya wakristo na kuweka ya kiislamu,mzee hovyo sana yule. Click to expand... Katika video hiyo hapo chini naeleza siku za mwisho za TAA na harakati zake kuelekea kuundwa kwa TANU na siku za mwanzo za TANU zilikuwaje. Kuna mengi ya kushtua na kushangaza: View: https://youtu.be/aVHSKzowAxg
jiwe angavu said: Ingeletwa historia hii na yule mzee dully,ingepindishwa kuondoa majina ya wakristo na kuweka ya kiislamu,mzee hovyo sana yule. Click to expand... Katika video hiyo hapo chini naeleza siku za mwisho za TAA na harakati zake kuelekea kuundwa kwa TANU na siku za mwanzo za TANU zilikuwaje. Kuna mengi ya kushtua na kushangaza: View: https://youtu.be/aVHSKzowAxg
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 May 20, 2024 #44 Kosa huruma ya Nyerere sheria ilikuwa inamtaka kufungwa kifungo cha maisha baada ya kukutwa na hatia. Ashukuru Nyerere alitumia utu kumuchia huru na kumruhusu aendelee na shughuli za kisiasa. Yeye mwenyewe alikiri kuwa alikuwa na mapepe ya kisiasa.
Kosa huruma ya Nyerere sheria ilikuwa inamtaka kufungwa kifungo cha maisha baada ya kukutwa na hatia. Ashukuru Nyerere alitumia utu kumuchia huru na kumruhusu aendelee na shughuli za kisiasa. Yeye mwenyewe alikiri kuwa alikuwa na mapepe ya kisiasa.
econonist JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 20,189 Reaction score 29,663 May 20, 2024 #45 Amshukuru Nyerere huyo mama .