PostGE2025 Bibi wa Taifa: Maiti za MO29 zilichomwa kwenye tanuru

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hizi kauli tutaendelea kuzisikia tena na tena kwasababu Serikali imetaka iwe hivyo, wameshindwa kutoa takwimu halisi za watu waliouawa MO29 hivyo kila mtu anaweza kuja na takwimu zake na chanzo chake na Serikali ikashindwa kujitetea

Wito kwa Serikali, achaneni na kutaja mali pekee zilizoibiwa ama kuchomwa moto, tajeni idadi ya waliokufa na maiti pia zitolewe watu wakazike wapendwa wao
 
siwezi kupoteza muda au kubabaika na porojo na uzushio nonsense kama huo gentleman
 
siwezi kupoteza muda au kubabaika na porojo na uzushio nonsense kama huo gentleman
Je, unajua maiti za ndugu zetu zilipohifadhiwa mkuu? Kama hujui au unajua lakini unajitoa ufahamu kwa makusudi, kaa kimya.
 
Mbona wewe umesema ulilala na wanawake wenye makucha na lipshine lakini wote wakakunukua mitaro.
 
script potofu, nonsense na za kizushi kama hizi hudhalilisha wazazi wa watu, familia na ukoo mzima.

maskini mzazi wa watu kabebwa ufala kifikra na pengine kapewa elfu5 tu ajidhalilishe hivyo na kudhalilisha wanawe.

umaskini ni kitu mbaya sana aise
Weka ya kwako unayoamini kuwa ndiyo ya ukweli ili tufanye comparison, there are always different versions of any information.
 
Hata makaburu hawakufikia ukatili na ushenzi huu uliofanywa na serikali dhalimu ya CCM kwa Watanganyika.
 
Bibi katumwa na kanisa ,zile ramli za wachungaji wake kwamba Gwajima atakuwa Rais anaona zimeeenda hovyo...Kabaki anapiga domo na kuambiwa cha kusema
 
huyu bibi bado yupo kwenye chati?
 
Script potofu, nonsense na za kizushi kama hizi hudhalilisha wazazi wa watu, familia na ukoo mzima.

maskini mzazi wa watu kabebwa ufala kifikra na pengine kapewa elfu5 tu ajidhalilishe hivyo na kudhalilisha wanawe.

umaskini ni kitu mbaya sana aise
Hivi mtu anapata wapi ujasiri wa kupinga kila kitu wakati mambo mengine yapo wazi?

Tuseme hazikuchomwa moto, Je, hakuna familia hazijaona wapendwa wao hadi leo? Wako wapi?

Hakuna familia ambazo walishuhudia wapendwa wao wameuwawa mbele ya macho yao halafu wakaenda kuhifadhiwa mochwari na baadae wakawakosa? Kama yaliyosimuliwa ni uongo, hao wako wapi?

Waleteni hao wanaolalamikiwa kutoonekana hadi leo ili simulizi kama hizi tuamini ni za kutunga na zilizojaa uongo
 
Bibi katumwa na kanisa ,zile ramli za wachungaji wake kwamba Gwajima atakuwa Rais anaona zimeeenda hovyo...Kabaki anapiga domo na kuambiwa cha kusema
Mambo ya kanisa yanaingiaje hapa mkuu? Wewe unafahamu miiili ya ndugu zetu ilipo tuchukue tukazike?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…