Kanisa wanahusika kwa asilimia 90 kama unabisha rudi shule kwanza .Nawachukia sana hao ,walitaka kufanya mapinduzi kwa kushawishi watu... wameshindwa wanaandika taarabu.Mambo ya kanisa yanaingiaje hapa mkuu? Wewe unafahamu miiili ya ndugu zetu ilipo tuchukue tukazike?
Ni shetani aliye ndani yako anakutumia bila kujijua kulalamika kwa kuwa siri ya uovu wao imefichuliwaScript potofu, nonsense na za kizushi kama hizi hudhalilisha wazazi wa watu, familia na ukoo mzima.
maskini mzazi wa watu kabebwa ufala kifikra na pengine kapewa elfu5 tu ajidhalilishe hivyo na kudhalilisha wanawe.
umaskini ni kitu mbaya sana aise
Huyo mpuuzi amejificha kwenye keyboard wakati bibi anaweka ukweli hadharani. Namshangaa kwanini hatuambii maiti walizochukua hospitali walizipeleka wapi! Kwanini wasirudishe hata majivu ndugu wakazike?Ni shetani aliye ndani yako anakutumia bila kujijua kulalamika kwa kuwa siri ya uovu wao imefichuliwa
Mimi nilifikiri utatoa wito kwa vyombo vya uchunguzi kumwomba huyu mama awasaidie kumwaga ushahidi wa tuhuma hizi Ili kusaidia kupatikatikana kwa haki..?
Badala yake, mbona unamshambulia mtu ambaye amezungumza kwa uwazi bila kificha sura yake kama wewe ulivyojificha..?
Ndugu Mnyenz unampa heshima asiyokuwa nayo huyu Tlaatlaah kwa kumpa title ya "ukuu" asiokuwa nao.Mkuu, je, wewe unajua miili ilipelekwa wapi?
Machawa kama wewe ni hasara kwa taifa mtaisha.Script potofu, nonsense na za kizushi kama hizi hudhalilisha wazazi wa watu, familia na ukoo mzima.
maskini mzazi wa watu kabebwa ufala kifikra na pengine kapewa elfu5 tu ajidhalilishe hivyo na kudhalilisha wanawe.
umaskini ni kitu mbaya sana aise
Je wajua ni kwa kiasi gani unajifedhehesha humoo?uumizwe na nani gentleman?
na huyo mbibi mzazi wa wenyewe au?
huenda anawafedhehesha wanawe kwa kutumika vibaya mitandaoni
Hata Hitler hakuwa na ukatili wa kiasi hicho. Manusura mmoja alinusurika kuingizwa kwenye tanuru baada ya kupiga chafya akiwa hospitali ya Mwananyamala; wakampeleka wodini!Hata makaburu hawakufikia ukatili na ushenzi huu uliofanywa na serikali dhalimu ya CCM kwa Watanganyika.
Unapoteza muda na mtu mpumbavu!Bibi huwa anaongea mambo mengi ya kulikanya na kuliponya taifa. Wewe ndio kwanza unamsikia leo?
najaribu kufikiria watoto watu wazima wa huyo mbibi wanajiskiaje mzazi wao akitumika kueleza porojo za kizushi mitandaoni. dah!
Wajinga wengi wanaongea hovyo wakitumia simu kujirekodi.unaju uzushi ni jmbo la fedheha sana hasa unapokua umeshupaliwa na mama tena mzazi wa mtu.
ni fedheha zaidi kwa wanawe na ukoo wake kwa ujumla kwasababu hiyp porojo haina athari zaidi, ispokua kama anatumiwa mitandaono kutengeneza contents za kumuingizia kipato bila kujali kwamba ni kweli au sio kweli
Wazo Hill wajitokeze kujibu hii tuhuma kabla wateja wao hawajachukua uamuzi dhidi ya bidhaa zao. Hii watatakiwa kumtaja Bibi wa Taifa adhibitishe kwa njia zilizopo.cha sementi Wazo Hill. Hii ni mbaya sana.
Hawa watu kazi yao kubwa ni kuhamisha mijadala ili jambo lisijadiliwe kiundani, nadhani jambo la msingi ni kuwapuuza na kuacha kuwajibuNdugu Mnyenz unampa heshima asiyokuwa nayo huyu Tlaatlaah kwa kumpa title ya "ukuu" asiokuwa nao.
Huyu Tlaatlaah ni wenzake ni project ya u-chawa tu watetezi wa uovu na maovu duniani kwa kujua au kutojua.
Hawa ni mawakala halisi wa shetani ambaye ni baba yao wa uongo, mnafiki na muuaji mnywa damu za watu
Hizi ndizo sifa wanazostahili kupewa!!
Huyu bibi=wanaume wa Dar 1,000
Huyu ni mpumbavu sana. Wala usimjibu. Anafikiri bibi anaongea from no where? Chawa mpuuzi sana hajitambui kabisa!Bibi huwa anaongea mambo mengi ya kulikanya na kuliponya taifa. Wewe ndio kwanza unamsikia leo?
Unaweza kuleta ushahidi mkuu?Kanisa wanahusika kwa asilimia 90 kama unabisha rudi shule kwanza .Nawachukia sana hao ,walitaka kufanya mapinduzi kwa kushawishi watu... wameshindwa wanaandika taarabu.
Mkuu sasa mbona unaleta tuhuma bila ushahidi. Si ukae kimya tu?Wajinga wengi wanaongea hovyo wakitumia simu kujirekodi.
Kuna yule dada Recho kila akifungua mdomo wake ni wendawazimu mtupu unamtoka kichwani mwake.
Unatetea mpaka mauaji wewe utakufa?Script potofu, nonsense na za kizushi kama hizi hudhalilisha wazazi wa watu, familia na ukoo mzima.
maskini mzazi wa watu kabebwa ufala kifikra na pengine kapewa elfu5 tu ajidhalilishe hivyo na kudhalilisha wanawe.
umaskini ni kitu mbaya sana aise
Wewe jamaa vipi? Watu tunakutetea dhidi ya mwendawazimu Tlaatlaah wewe unatuparura?Mpumbavu ni wewe unayepayuka bila ushahidi.