Wamekuona shamba la bibi na kama wanataka kuja kumchukua mkeo waambie wafanye upesi.Habari?
Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela.
Mi ninavyojua mahari huwa haiishi ambapo unaweza lipa taratibu, haya sasa hivi wamesema wanamuijia mke wangu na watoto dah! Halafu hela sina, je hii ni sahihi? Maana huyo mke wangu kwao ni mjukuu tu ila watoto wao wameolewa bure hata mahari haijatolewa ila mimi huwa najitahidi kutoa kidogo kidogo.
Jambo jema sana hiliAcha wamchukue, wewe watumie kadi ya mchango unaoa mwingine.
Mkuu mahari haitakiwi kuisha na wablock wote wasikuzoeeHabari?
Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela.
Mi ninavyojua mahari huwa haiishi ambapo unaweza lipa taratibu, haya sasa hivi wamesema wanamuijia mke wangu na watoto dah! Halafu hela sina, je hii ni sahihi? Maana huyo mke wangu kwao ni mjukuu tu ila watoto wao wameolewa bure hata mahari haijatolewa ila mimi huwa najitahidi kutoa kidogo kidogo.
Kukubali kulipa mahari ni kuendeleza biashara ya utumwa.Habari?
Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela.
Mi ninavyojua mahari huwa haiishi ambapo unaweza lipa taratibu, haya sasa hivi wamesema wanamuijia mke wangu na watoto dah! Halafu hela sina, je hii ni sahihi? Maana huyo mke wangu kwao ni mjukuu tu ila watoto wao wameolewa bure hata mahari haijatolewa ila mimi huwa najitahidi kutoa kidogo kidogo.
Hii kitu huwa naipinga sana , na imetoa mianya mingi ya manyanyaso ya kijinsiaKukubali kulipa mahari ni kuendeleza biashara ya utumwa.
Nani kawaambia mahari haitakiwi kuisha ? Ni imani za mtaa au imani za kidini? Kama kwa upande wa Dini kwa waislam mahari ni deni inatakiwa ilipwe haraka sana kabla hujafa na ukifa ukiwa na deni hilo ndugu zako wanatakiwa wakulipieMkuu mahari haitakiwi kuisha na wablock wote wasikuzoee
Mila na desturi za makabila mengi ya kitanzania. Ukimaliza mahari unakuwa kama umeua undugu kati ya hizo familia mbiliNani kawaambia mahari haitakiwi kuisha ? Ni imani za mtaa au imani za kidini? Kama kwa upande wa Dini kwa waislam mahari ni deni inatakiwa ilipwe haraka sana kabla hujafa na ukifa ukiwa na deni hilo ndugu zako wanatakiwa wakulipie
Kurogwa ni hatari, malizana nao mapema, vuta picha unatazama mpira wa Yanga kwenye beseni, ni mbaya na hatari kwa Afya yako...Habari?
Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela.
Mi ninavyojua mahari huwa haiishi ambapo unaweza lipa taratibu, haya sasa hivi wamesema wanamuijia mke wangu na watoto dah! Halafu hela sina, je hii ni sahihi? Maana huyo mke wangu kwao ni mjukuu tu ila watoto wao wameolewa bure hata mahari haijatolewa ila mimi huwa najitahidi kutoa kidogo kidogo.
Ndoa kama ilikua ni ya kimila sawa ila kama ni ya kidini anatakiwa amalize mahari vinginevyo ni utapeli kama utapeli mwingineMila na desturi za makabila mengi ya kitanzania. Ukimaliza mahari unakuwa kama umeua undugu kati ya hizo familia mbili
Sana.Hii kitu huwa naipinga sana , na imetoa mianya mingi ya manyanyaso ya kijinsia
Mkuu dini lazima izingatie mila. Swala la mahari ni la kimila zaidi kuliko diniNdoa kama ilikua ni ya kimila sawa ila kama ni ya kidini anatakiwa amalize mahari vinginevyo ni utapeli kama utapeli mwingine
Mila haina nafasi kwenye dini unatakiwa uchague mojaMkuu dini lazima izingatie mila. Swala la mahari ni la kimila zaidi kuliko dini