Kaolewa kwa mjanja anaowamudu. Wewe ndo mnyonge waoKama ni hivyo kwanini mtoto wao kaolewa bure na hawafatilii?
Are really that weak? Unalizimishwa vipi, hauna confidence ya kusimama firm katika mambo yako?Habari?
Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela.
Mi ninavyojua mahari huwa haiishi ambapo unaweza lipa taratibu, haya sasa hivi wamesema wanamuijia mke wangu na watoto dah! Halafu hela sina, je hii ni sahihi? Maana huyo mke wangu kwao ni mjukuu tu ila watoto wao wameolewa bure hata mahari haijatolewa ila mimi huwa najitahidi kutoa kidogo kidogo.
Mpaka wanakutoza mahari tangu siku ya kwanza kwa akili yako hapo waliutengeneza huo undugu?Mila na desturi za makabila mengi ya kitanzania. Ukimaliza mahari unakuwa kama umeua undugu kati ya hizo familia mbili
Nimekupata mkuu.Mpaka wanakutoza mahari tangu siku ya kwanza kwa akili yako hapo waliutengeneza huo undugu?
Naunga mkono hojaAcha wamchukue, wewe watumie kadi ya mchango unaoa mwingine.