Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 64,960
- 111,265
Mahari sio zawadi, hakuna zawadi inayodaiwa au kuwa bargained/ kufanyiwa makubaliano kupitia mazungumzo ya mapatano kabla haijatolewa.Kwanini wewe ukipewa zawadi unaipeleka wapi....??
Mahari sio zawadi, hakuna zawadi inayodaiwa au kuwa bargained/ kufanyiwa makubaliano kupitia mazungumzo ya mapatano kabla haijatolewa.Kwanini wewe ukipewa zawadi unaipeleka wapi....??
Binadamu nwenzako sio kama furushi la viaziNani kawaambia mahari haitakiwi kuisha ? Ni imani za mtaa au imani za kidini? Kama kwa upande wa Dini kwa waislam mahari ni deni inatakiwa ilipwe haraka sana kabla hujafa na ukifa ukiwa na deni hilo ndugu zako wanatakiwa wakulipie
Huo ni mtazamo wako binafsi au umenukuu mahali....??Mahari sio zawadi, hakuna zawadi inayodaiwa au kuwa bargained/ kufanyiwa makubaliano kupitia mazungumzo ya mapatano kabla haijatolewa.
👊👊Nani kawaambia mahari haitakiwi kuisha ? Ni imani za mtaa au imani za kidini? Kama kwa upande wa Dini kwa waislam mahari ni deni inatakiwa ilipwe haraka sana kabla hujafa na ukifa ukiwa na deni hilo ndugu zako wanatakiwa wakulipie
Ulitaka ninukuu wapi?Huo ni mtazamo wako binafsi au umenukuu mahali....??
How can anyone seriously believe this kind of nonsense?!Mahari ni deni kama ulikubali kuoa kidini.......imetolewa ruksa ya kutoa kidogo ili kuepusha zinaa na hali ya kuwa muoaji hana uwezo kwa muda huo lakini kama uwezo wa kulipa unao na umefanya kusudi ili upate deni basi utahesabiwa kuwa ndoa yako ni batili
Tunaishi katika ulimwengu wa watu mbali mbali wenye maoni, mitazamo na mitindo ya maisha tofauti tofauti kulingana na jamii inayokuzunguka!!!How can anyone seriously believe this kind of nonsense?!
Katika jamii zetu kuna watu wanayaendesha kufuatana na miongozo yao ya kiimani na kuna wengine huyaongoza maisha yao kulingana na utashi wao wenyewe.....Ulitaka ninukuu wapi?
Ni hii ndio njia pekee ya kufanya,kama alikubali hiyo mahari basi alikubali huo mkataba wa kimila,kwahiyo Aache kulialia Amalize deni la watuKama usumbufu wote huo unatokana na mahali iliyobaki, jikusanye malizia mahali yao halafu usiwe na muda nao.
Kata mazoea na wao.
Ndiyo maana wana watoto tayari ambao watawaunganisha daima. Kama hakuna watoto bado ndoa katika familia hizo mbili haiwezi kutokeaVipi hao mke na mume wakiachana? Undugu wa wa hizo familia bado utaendelea?
Hii ni mpya masikioni mwanguNdio, anaweza.
Ni kweli mkuu.Ni hii ndio njia pekee ya kufanya,kama alikubali hiyo mahari basi alikubali huo mkataba wa kimila,kwahiyo Aache kulialia Amalize deni la watu
Endelea kulipa kidogo kidogo mpaka umalize deniHabari?
Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela.
Mi ninavyojua mahari huwa haiishi ambapo unaweza lipa taratibu, haya sasa hivi wamesema wanamuijia mke wangu na watoto dah! Halafu hela sina, je hii ni sahihi? Maana huyo mke wangu kwao ni mjukuu tu ila watoto wao wameolewa bure hata mahari haijatolewa ila mimi huwa najitahidi kutoa kidogo kidogo.
Achana na yote..chukua ushauri huu hapaAcha wamchukue, wewe watumie kadi ya mchango unaoa mwingine.
Uko sahihi kabisa ndo maana nikasema hiyo familia kwanzia jamaa,ndugu wa mke na mke mwenyewe wote wana matatizo kila mmoja kati yao ana mtizamo ambao siyo wa sawa, wangekua wana uelewa wa ulichoandika huo mgogoro usingekuwepo .Kwa mujibu wa kiimani.....niko tayari kusahihishwa.......
Mahari inahesabika ni deni ikiwa muoaji hana uwezo wa kulipa kwa wakati huo anatoa kidogo kati ya kile walichoelewana na kubakia deni ili ndoa ipite.....lakini ikiwa muoaji amekusudia kabisa kutokumaliza hali ya kuwa uwezo wa kufanya hivyo anao basi hapo atahesabika amefanya utapeli na hiyo ndoa itakuwa batili........
Lakini pia nadhani anayetakiwa kudai mahari ni mke kwa kuwa mke ndio mwenye kupokea mahari sasa inakuwaje wazazi wanakuwa mbele kwenye hili.....