Kwanza tumia lugha ya kistaarabu ya karne ya 21, kumuingilia ndio kitu gani? Sema kufanya mapenzi au ngono.Ushauri kwa Waislamu, nimetaja waislamu makusudi ili wapuuzi wengine wasiliingilie
Muislamu tambua mahari ndio inakupa uhalali wa kumuingilia huyo mke wako,kwahiyo ule ujinga wa kusema mahari haimaliziwi sio katika Uislamu
Hahahah watu wanataka chao umegeuzwa mtaji hapo mkeo yeye anasemaje kwani?Habari?
Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela.
Mi ninavyojua mahari huwa haiishi ambapo unaweza lipa taratibu, haya sasa hivi wamesema wanamuijia mke wangu na watoto dah! Halafu hela sina, je hii ni sahihi? Maana huyo mke wangu kwao ni mjukuu tu ila watoto wao wameolewa bure hata mahari haijatolewa ila mimi huwa najitahidi kutoa kidogo kidogo.
This one📍Tabu kuoa familia masikini
🤣👍🏽Nipigieee
Lugha ya kuingilia ndio ya kistaarabu zaidi lau ungejuaKwanza tumia lugha ya kistaarabu ya karne ya 21, kumuingilia ndio kitu gani? Sema kufanya mapenzi au ngono.
Ni imani za ajabu ajabu tu ndio zina hayo maelekezo ya kwamba uhalali wa ngono kati ya watu wawili ni hadi mahari ilipwe(biashara ifanyike), ni ujima mtupu.
Mimi nimefikaje hapo?Na wewe jamaa ulikubalije kutoa mahali nyingi kiasi hicho wakati wewe mwenyewe maisha yako ya kuunga UNGA tu ya min -me
Siku hizi mahali ikizidi sana laki 4-7 sasa wewe unatoaje mahali ya 2.7 million?
Mimi naona ubaya uliuanza wewe
Hapa umeongea kwa uchungu sana..ila mimi huwa najitahidi kutoa kidogo kidogo.
Juzuu 2 tu na Msaahafu mmoja unachukua mwali wako unaenda kujichapia, jana nimekuta wanawake wamevaaa ushungi wanajadiriana jambo moja wanasema mwanaume kua na mwanamke mmoja sio kweli mwanaume bismillah awe na wanawake kuanzia wawili ila kinyume na hapo mwanaume mke mmoja sio kweliwaislamu wanaolewa kwa mahari ndogo sana,
Habari?
Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela.
Mi ninavyojua mahari huwa haiishi ambapo unaweza lipa taratibu, haya sasa hivi wamesema wanamuijia mke wangu na watoto dah! Halafu hela sina, je hii ni sahihi? Maana huyo mke wangu kwao ni mjukuu tu ila watoto wao wameolewa bure hata mahari haijatolewa ila mimi huwa najitahidi kutoa kidogo kidogo.
Lengo la kufanya mahari iwe nyepesi ni watu kuoa na kuolewa kuepuka ZinaaJuzuu 2 tu na Msaahafu mmoja unachukua mwali wako unaenda kujichapia, jana nimekuta wanawake wamevaaa ushungi wanajadiriana jambo moja wanasema mwanaume kua na mwanamke mmoja sio kweli mwanaume bismillah awe na wanawake kuanzia wawili ila kinyume na hapo mwanaume mke mmoja sio kweli
Wapigie hesabu za pesa ulizowatumia kisha deduct kwenye deni la mahari kisha achana nao kwa amaniHabari?
Nimeoa tangu 2021 wakaniambia nilipe m 2.7 nikawa nimelipia kama milion moja na sehemu hv, sasa imebaki m 1 lakini hawa bibi zake na wife kila wakikosa ada ya kumlipia mtoto wao au ada ya kulimia wananiijia juu nilipe mahari ambapo na mimi muda huo nakuwa sina hela.
Mi ninavyojua mahari huwa haiishi ambapo unaweza lipa taratibu, haya sasa hivi wamesema wanamuijia mke wangu na watoto dah! Halafu hela sina, je hii ni sahihi? Maana huyo mke wangu kwao ni mjukuu tu ila watoto wao wameolewa bure hata mahari haijatolewa ila mimi huwa najitahidi kutoa kidogo kidogo.
Sio kwamba nimedhamilia kuto kuwapa mahali, mamb yang yaliyumba kiasi, we watu gani wanadai mahali nimetoka nimetoka msibani kumzika baba yangu mzazi ile narud tu hata kunipa pole anakuja kudai mahali ihali nimesha lipa M 1 na point.Uko sahihi kabisa ndo maana nikasema hiyo familia kwanzia jamaa,ndugu wa mke na mke mwenyewe wote wana matatizo kila mmoja kati yao ana mtizamo ambao siyo wa sawa, wangekua wana uelewa wa ulichoandika huo mgogoro usingekuwepo .
Tatizo jamaa nae kadhamiria kutokumaliza mahari, ndugu nao wanaamini mahari ni haki yao, mke nae kakaa kimya akiamini mahari yake inatakiwa ilipwe familia
Kwa hio tuoe wanne?Lengo la kufanya mahari iwe nyepesi ni watu kuoa na kuolewa kuepuka Zinaa
Kwanza mke ukimtolea mahari chache huwezi kumfanya kama mali yako na kumfanya utakavyo,ndio kuna watu wanatengua miguu wake zao na hata kuwaua
Ngono hata wanyama wanafanya,lakini mwanaadamu amepewa hadhi ya juu kwa ubora na heshima,ndio maana ikawekwa ndoa kama takaso na heshima
Kwani ni uongo wanaume haturidhiki na mwanamke mmoja,hata hao wanao Pinga wake wengi utawakuta na mke mmoja na mahawara 4 mpaka 5,kipi bora hapo,anayeoa kihalali na kula halali au yule anayekula haramu?
Ndio maana katika qur'an tumeambiwa tuoe kuanzia wawili,watatu hadi wanne
Umepewa option kuanzia wawili hadi wanne,lakini ukishindwa kufanya uadilifu basi oa mmoja tuKwa hio tuoe wanne?
Wanne mzee wame wamenona kidogo alhamdullah alfataten alfusikilatenUmepewa option kuanzia wawili hadi wanne,lakini ukishindwa kufanya uadilifu basi oa mmoja tu