Bibi zake mke wangu wakikosa pesa ya kulipa ada wanaanza kutumia mabavu nilipe mahari

Bibi zake mke wangu wakikosa pesa ya kulipa ada wanaanza kutumia mabavu nilipe mahari

Ndoa kama ilikua ni ya kimila sawa ila kama ni ya kidini anatakiwa amalize mahari vinginevyo ni utapeli kama utapeli mwingine
Kama ni hivyo kwanini mtoto wao kaolewa bure na hawafatilii?
 
Kwahiyo unalipiza kisa mtoto wao kaolewa bure? Lipa mahari ya watu uache kuishi kama mtumwa
Na hayo pia ni mawazo yako mahari sio deni na ndio maana haifungi kaa kwa kutulia
 
Sisi wapenda ujuba mbona havitutokei vitu kama hivi.
Wape mtoto wao bwashee.
 
Kwa sauti ya upole waambie haupendi mambo ya ksenge, kama vipi wamuijie mjukuu..... Mwambie na mjukuu aongee na hao bibi zake.
Nimesha mwambia wakaanza kumwambia maneno ya kiseng** tu et umeona mme ndio bora kuliko sisi ndugu zako.
 
Wamekuona shamba la bibi na kama wanataka kuja kumchukua mkeo waambie wafanye upesi.

Ukitetemeka watakuendesha sana.

Kiufupi wanaona wanakumudu
Namimi naona hivyo maana ni kama kesi hivi alafu hata uwaambie sina hela wanalazimisha ulipe, kuna kipindi babu yake alikuja kudai kwa nguvu nikamjibu mi sina hela, siku iyo wife alimpikia akala na nauli ya kumrudisha tukampa hakuja na nauli, nilivyo impa hiyo nauli akaigomea ni ndogo 😂😂😂 . Alivyo fika nyumbani akawaambia hata kula hajala.
 
Back
Top Bottom