Bible Error: Mwanzo 1:1-3a Kosa kubwa la Milenia, kutafsiri kutoka kwenye lugha ya Kiebrania

Mleta mada Biblia ya Kiyahudi yaani Hebrew Bible tunazo na Hebrew Bible waliyoitafsiri wayahudi wenyewe kwa ajili ya matumzi yao iipo Inaongelea God created not Gods. Sasa wewe unajua tafsiri ya kiebrania kwenda kiingereza kuliko wao?

Pili dini ya kiyahudi ni waamini Mungu mmoja tu sio miungu na ndio maana hata kwenye amri kumi za Mungu alizopewa Musa inatamka wazi kuwa usiwe na miungu mingine ila mimi tu

Hilo uliloandika linapingana kabisa na imani ya dini ya kiyahudi inayoamini Mungu mmoja tu muumba mbingu na nchi na ndio maana huo mstari wa Mwanzo 1 : 1 ulitafsiriwa hivyo kuwa hapo mwanzo Mungu aliumba Mbingu na Nchi sawa na imani ya dini ya kiyahudi wenye agano la kale wanachoamini

Hilo ulilooandika haliko consistent na imani ya dini ya kiyahudi na Biblia yao ya kiyahudi inayoamin Mungu mmoja tu

Wayahudi wanaamini Mungu mmoja hakuna namna hapo wangeweka Miungu waliumba mbingu na nchi ni uongo hilo lako ni mafundisho ya kukoteza majalalani no fundisho la mashetani
 
How can verb be singular or plural?
Nikawaida kabisa kwenye lugha mbalimbali verb kuwa ya wingi au umoja.

Mfano kwenye lugha ya kifaransa.

Nous allons - we are going

Allons hapo ni plural verb, singular verb yake vais.
Je vais - am going.

Hivyo hivyo hata kwenye hebrew languange kuna singular verb na plural verb.

Mfano hilo neno " bara" ni 3rd person masculine past tense, singular verb.
 
Mleta mada Biblia ya Kiyahudi yaani Hebrew Bible tunazo na Hebrew Bible waliyoitafsiri wayahudi wenyewe kwa ajili ya matumzi yao i yao ipo Inaongelea God created not God's. Sasa wewe unajua tafsiri ya kiebrania kwenda kiingereza kuliko wao?

Pili dini ya kiyahudi ni waamini Mungu mmoja tu sio miungu na ndoe maana hata kwenye amri kumi za Mungu alizopewa Musa inatamka wazi kuwa usiwe na miungu mingine ila mimi tu

Hilo uliloandika linapingana kabisa na imani ya dini ya kiyahudi inayoamini Mungu mmoja tu muumba mbingu na nchi na ndio maana huo mstari wa Mwanzo 1 : 1 ulitafsiriwa hivyo kuwa hapo mwanzo Mungu aliumba Mbingu na Nchi saasawa na imani ya dini ya kiyahudi wenye agano la kale wanachoamini

Hilo ukiloandika haliko consistent na imani ya dini ya kiyahudi na Biblia yao ya kiyahudi inayoamin Mungu mmoja tu

Wayahudi wanaamin8 Mungu mmoja hakuna namna hapo wangeweka Miungu waliumba mbingu na nchi ni uongo hilo lako ni mafundisho ya kukoteza majalalani no fundisho la mashetani
Huku nilikuwa bado sijafika. Lakini naomba usome kwa makini na kisha tuanze kuelewana kwa pamoja.

‭Genesis 1:26
And God said, Let us make man in our image, after our likeness: and let them have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over the cattle, and over all the earth, and over every creeping thing that creepeth upon the earth.
 
Nikawaida kabisa kwenye lugha mbalimbali verb kuwa ya wingi au umoja.

Mfano kwenye lugha ya kifaransa.

Nous allons - we are going

Allons hapo ni plural verb, singular verb yake vais.
Je vais - am going.

Hivyo hivyo hata kwenye hebrew languange kuna singular verb na plural verb.

Mfano hilo neno " bara" ni 3rd person masculine past tense, singular verb.
Mzee unajaribu kuoanisha vitu ambavyo havipo. Ungeleta hilo neno la kiebrania la verb linaloongelea singular or plural ya neno bara.

Mimi sipo hapa kubishana kwa maneno matupu.

Eloah ni Singular lakini Elohim ni Plural

Sasa issue ya verb Bara inahusika vipi?
 
Huku nilikuwa bado sijafika. Lakini naomba usome kwa makini na kisha tuanze kuelewana kwa pamoja.

‭Genesis 1:26
And God said, Let us make man in our image, after our likeness: and let them have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over the cattle, and over all the earth, and over every creeping thing that creepeth upon the earth.
Kuna maneno mawili kwenye kiingereza kuna create na make

Creating is making something out of nothing bila kutumia any physical material

Making is using somethin physical to make something physical

Mwanzo 1 :1 God created he made something out of nothing .Mbingu na nchi

Wakati hiyo Genesis 1:26 kuna combination hapo ya divinity ya ku create na ku make

Huyo mtu aliumbwa kwa combination ya udongo na pumzi ya Mungu ndio maana kuna neno Make hapo

Mwanzo 2:7
BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.

Sisi tumeumbwa in the image of God .Ina.maana gani Mungu aliposema let us create in our image aliongelea in the the imagination of God .What was in the imagination

Kwa nini limetumika in our imagination ? Hapo unaongelewa utatu mtakatifu .Mungu akiongea na Roho mtakatifu na Yesu .Na hapo ndio mwanzo tunaona wa nafsi tatu zikijadili kuwa mtu aumbe awe naye na awe na utatu yaani awe na mwili ,roho na nafsi .Hizo aspect zote tatu ziwemo kwa huyo mtu

Sio kuwa kuna miungu mitatu au mingi ilikuwa inajadiliana
 
Mzee unajaribu kuoanisha vitu ambavyo havipo. Ungeleta hilo neno la kiebrania la verb linaloongelea singular or plural ya neno bara.

Mimi sipo hapa kubishana kwa maneno matupu.

Eloah ni Singular lakini Elohim ni Plural

Sasa issue ya verb Bara inahusika vipi?
Hebrew haiko simple hivyo.

hiyo Elohim licha ya kuwa ni Plural noun , katika mazingira hayo ilitumika kama singular noun.

Ili kuelawa hilo angalia context nzima ya hiyo statement verb "bara" ambayo inamaanisha "he created" na sio "they created".

Kama ingekuwa ni miungu mingi wasingetumia verb ambayo singular.
 
Kuna maneno mawili kwenye kiingereza kuna create na make

Creating is making something out of nothing bila kutumia any physical material

Making is using somethin physical to make something physical

Mwanzo 1 :1 God created he made something out of nothing .Mbingu na nchi

Wakati hiyo Genesis 1:26 kuna combination hapo ya divinity ya ku create na ku make

Huyo mtu aliumbwa kwa combination ya udongo na pumzi ya Mungu ndio maana kuna neno Make hapo

Mwanzo 2:7
BWANA Mungu akamfanya mtu kwa mavumbi ya ardhi, akampulizia puani pumzi ya uhai; mtu akawa nafsi hai.

Sisi tumeumbwa in the image of God .Ina.maana gani Mungu aliposema let us create in our image aliongelea in the the imagination of God .What was in the imagination

Kwa nini limetumika in our imagination ? Hapo unaongelewa utatu mtakatifu .Mungu akiongea na Roho mtakatifu na Yesu .Na hapo ndio mwanzo tunaona wa nafsi tatu zikijadili kuwa mtu aumbe awe naye na awe na utatu yaani awe na mwili ,roho na nafsi .Hizo aspect zote tatu ziwemo kwa huyo mtu

Sio kuwa kuna miungu mitatu au mingi ilikuwa inajadiliana
Achana sura ya 2. Huko kuna maelezo yake kabisa. Hapa tunaongelea sura ya 1.
Ndio maana nimekuletea
‭Genesis 1:26
And God said, Let us make man in our image, after our likeness: and let them have dominion over the fish of the sea, and over the fowl of the air, and over the cattle, and over all the earth, and over every creeping thing that creepeth upon the earth.

Hii inaongelea wingi. Kuwa tufanye mtu kwa mfano wetu. Hapo hakuwepo mmoja.

Ndio maana naendelea kusisitiza:

Elohim is a plural and Eloah is a singular. Naomba tukubaliane kwa hii issue ya singular and plural.
 
Hebrew haiko simple hivyo.
hiyo Elohim licha ya kuwa ni Plural noun , katika mazingira hayo ilitumika kama singular noun.
Ili kuelawa hilo angalia context nzima ya hiyo statement verb "bara" ambayo inamaanisha "he created" na sio "they created".
Kama ingekuwa ni miungu mingi wasingekutimia verb ambayo singular.
Uko sahihi .Biblia ya kiyahudi ya wayahudi wenyewe hivyo wenye hilo agano la kale.Hakuna awezaye kutafsiri hilo neno zaidi ya wayahudi wenyewe wenye lugha yao kuwa hilo neno wao linamasnisha nini? Sio kwa mtu aliyesoma sijui kiyahudi kwenda kigiriki au kiingereza.Wao wenyewe wanasemaje Wao tafsiri yao ni Mungu Mmoja .Sasa wengine huko nje wanaoamini ni Miungu mingi huo uzushi wao .Wayahudi wenyewr tafsiri yao hii hapa

The word Elohim is plural, but it is often used with a singular meaning.

When used with a singular meaning in the Hebrew Bible, Elohim usually refers to the monotheistic Creator God, or to the God of Israel, Yahweh.

Sasa wayahudi wenyewe wanasema Elohim ni Mungu mmoja halafu mndengereko anakuja kusema sio kweli mimi sikubali Elohim ni miungu wengi
 
Hebrew haiko simple hivyo.
hiyo Elohim licha ya kuwa ni Plural noun , katika mazingira hayo ilitumika kama singular noun.
Ili kuelawa hilo angalia context nzima ya hiyo statement verb "bara" ambayo inamaanisha "he created" na sio "they created".
Kama ingekuwa ni miungu mingi wasingekutimia verb ambayo singular.
Mzee unatengeneza maana zako tu.
Leta neno la kiebrania kuhusu They Created
 
Uko sahihi .Biblia ya kiyahudi ya wayahudi wenyewe hivyo wenye hilo agano la kale.Hakuna awezaye kutafsiri hilo neno zaidi ya wayahudi wenyewe wenye lugha yao kuwa hilo neno wao linamasnisha nini? Sio kwa mtu aliyesoma sijui kiyahudi kwenda kigiriki au kiingereza.Wao wenyewe wanasemaje Wao tafsiri yao ni Mungu Mmoja .Sasa wengine huko nje wanaoamini ni Miungu mingi huo uzushi wao .Wayahudi wenyewr tafsiri yao hii hapa

The word Elohim is plural, but it is often used with a singular meaning.

When used with a singular meaning in the Hebrew Bible, Elohim usually refers to the monotheistic Creator God, or to the God of Israel, Yahweh.
Mzee sidhani kama umesoma theology vizuri. Watu waliosoma bible na theology wananielewa kabisa on nachokiongea.

Kwakuwa nimeamua kuwafundisha nitaendelea kutoa elimu.

Je, kitabu cha Ayubu kinapingana na Imani ya Wayahudi?

Nijibu kwanza hapo kama msomaji wa been biblia.
 
Usijifiche kwenye kichaka cha theolojia
Elezea ni wapi kitabu cha Ayubu kina shida

Tuongee kwa hoja
 
  • Thanks
Reactions: 511
Usijifiche kwenye kichaka cha theolojia
Elezea ni wapi kitabu cha Ayubu kina shida

Tuongee kwa hoja
Wewe ukesema unaijua imani ya wayahudi. Ndio maana nimekuuliza kitabu cha Ayubu kina comply na Imani ya wayahudi? Jibu Yes or No.
 
Tusisambae sana kwenye mada ttukapoitea porini tujikite kwenye hoja ya mada iliyoko mezani .Kuhusu Elohim

Tusitoke nje ya mada tafadhali hiyo mada yako ni mpya tumalizane hii iliyopo.mezani kwanza Ya Elohim

Usitutoe kwenye reli tafadhali
 
Back
Top Bottom