Ndugu yangu. Nakusihi ujikite kwenye mada. Kuanza kunijadili mimi mara sijui, mara imani potofu mara oh!!. Tujadili mada. Na ninakusihi ujadili mada hii bila emotions. Maana nakuona kwenye maandishi yako umejaa jaza.
Ngoja tujadili:
Maelezo haya yote nimeyatolea ufafanuzi kabla hata ya wewe kuyaweka.
Nimekuwekea kitabu cha Matendo ya Mitume 17:11
Sasa wewe ndugu yangu hutaki tuyachunguze maandiko? Unataka tusiyajadili na tusione makosa yaliyomo kwenye tafsiri? Hivi unajua kuwa kuna version zaidi ya 1000 za biblia? Kwanini kunakuwa na version nyingi hivyo?
Hebu nakuomba usome vizuri kwa kutulia. Maana naona unabisha kitu ambacho hujasoma hata nilichokiandika.
Nakuomba uondoe hasira twende taratibu
Genesis: 1:1-2 King James Version
Hapo kwenye mstari wa pili kuna mambo matatu kuhusu dunia
1. without form
2. void
3. Darkness was upon the face of the deep
Sasa niliuliza lile giza lililokuwa juu ya vilindi lenyewe halikuumbwa? Naomba ujibu swali hili. Maana tunaona kwenye verse 3 Mwanga unaumbwa.
Kwanza kabisa
Hakuna sehemu nimesema beginning of God Soma vizuri maelezo yangu.
Maelezo yangu yapo clear kabisa,
Kabla ya hapo kuumba mbingu na nchi Mungu alikuwa anafanya nini?
Unatakiwa usome kama mwanafalsafa na kama walivyokuwa
Waberoya
Halafu unatakuiwa uelewe tu. Mimi sipingi Maandiko bali ninapinga namna ya tafsiri ilivyotumika.
Biblia inaanza kwa kusema
(Hapo Mwanzo) Hivi unaelewa lakini maana ya neno hili. Inamaa Mungu alikuwa hafanyi chochote then pakawepo na Mwanzo.
Nimekuwekea source ya
Tanakh Version ya 1985 ambayo imachapishwa kwa kingereza na
Jewish Publication Society Na unatakiwa kuelewa Agano la kale lote ni
Tanakh wayahudi hawana Agano jipya.
Tanakh kwa Tafsiri ya Kingereza Mwanzo 1:1-3
Mbona ndugu yangu hutaki kusoma?
Source hii hapa:
JPS Tanakh (1985)
Huwezi ukaweka conclusion ya hivi ndugu yangu. Utakuwa unamdogosha sana Mungu. Eti Mungu alianza kuumba Mbingu na Dunia tu? What?
Ndani ya Solar System tupo na sayari nyingi. Achilia kuongelea
Universe
Nakusihi hebu jaribu kusoma tena na uje na maelezo yanayoeleweka na uache hasira.