Bible Error: Mwanzo 1:1-3a Kosa kubwa la Milenia, kutafsiri kutoka kwenye lugha ya Kiebrania

Sasa kuna madudu au uharo kama huu ulioandika hapa? Yaani ni uharo mtupu!
 
Mwanzo mojoja haiongelei umbaji (creation) bali inaongelea utengenezaji (making). Uumbaji Mungu alikuwa ameshaufanya kabla kwenye muda na wakati ambao Biblia haijasema.
Wakati huo Adamu na Eva walitengenezwa kutoka kwenye udongo na si kwamba waliumbwa, walikuwa wameshaumbwa kabla kwa sababu udongo uliotumika kuwatengeneza ulikuwepo tayari
 
Kwa nini Biblia haijasema "in our own imaginations"; bali "in our own imagination"?
Kwa nini haijasema "in our own images"; bali "in our own image"?
Hapa Biblia inaonyesha kuwa kuna imagination moja inayomilikiwa na wengi, na pia sura moja inayomilikiwa na wengi; yaani Mungu mmoja, Nafsi tatu
 
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
Mwaka wa kukombolewa huu ni Mwaka wa kukombolewa oparesheni komboa familia Andika maombi 12 tia Sadaka yoyote upate mara 12 ya Sadaka yako, mtu anajaza Sadaka ili apate mara 12 Jamaa kavuna kaenda kukagua barabara Arusha na DAB
 
Reactions: 511
Despite its plural form, Elohim is perceived as a singular term. According to Genesis, Elohim is considered a monotheistic term despite its polytheistic grammatical structure.
 
The grammatical understanding of Genesis 1:1 is simple, and the most fundamental principle for learning any language is to follow the ease of grammar.
 
Concept ya Mungu mmoja ilianzia kwa wayahudi
 
Usilitaje bure jina la BWANA MUNGU wako
 
Kama nilivyokueleza Council of Nicaea ndiyo iliyoleta mambo haya yote. Kesho nitaielezea vizuri na source of Trinity ni nini?
Following a decade of debate, the concept was finally established at the First Council of Nicaea in 325 CE.

But what coursed debate??

According to the Old Testament, God encountered Christians in three roles:
-Creator,
-Lord of the salvation story,
-Father, and Judge

So the council of Nicaea, made a decision about something that was present prior to their arrival.
 
Hebu ngoja kwanza tuanze na maamuzi yaliyotokea kwenye kikao cha kwanza cha Nicaea
The Nicene Creed
We believe in one God,
the Father almighty,
maker of heaven and earth,
of all things visible and invisible.

And in one Lord Jesus Christ,
the only Son of God,
begotten from the Father before all ages,
God from God,
Light from Light,
true God from true God,
begotten, not made;
of the same essence as the Father.
Through him all things were made.
For us and for our salvation
he came down from heaven;
he became incarnate by the Holy Spirit and the virgin Mary,
and was made human.
He was crucified for us under Pontius Pilate;
he suffered and was buried.
The third day he rose again, according to the Scriptures.
He ascended to heaven
and is seated at the right hand of the Father.
He will come again with glory
to judge the living and the dead.
His kingdom will never end.

And we believe in the Holy Spirit,
the Lord, the giver of life.
He proceeds from the Father and the Son,
and with the Father and the Son is worshiped and glorified.
He spoke through the prophets.
We believe in one holy catholic and apostolic church.
We affirm one baptism for the forgiveness of sins.
We look forward to the resurrection of the dead,
and to life in the world to come. Amen.


Tunaanze na hiki hapa ambacho ndio msingi wa Ukristo. Hakikuwepo kabla
 
Moja ya maelengo ya council of Nicaea was Condemnation of Arianism

The council condemned the teachings of Arius, a priest from Alexandria who argued that Jesus Christ was not divine but a created being. Arius and his followers were declared heretics, and their teachings were rejected by the council.
 


Originally Answered: What is the meaning of "Bereshit bara Elohim et hashamayim v'et ha'aretz" in Hebrew?

I assume that you want a translation of this verse to English. I will try to translate as accurately as I can:
In the beginning God created the sky (or the firmament - not heaven) and the land (not earth. Earth is Adama in Hebrew and refers to the actual thing that we scoop up from a ploughed field).
We say “the land of Israel” not the earth of Israel for Eretz Yisrael.
The translation of KJB is not accurate. But it is so popular among English speakers, that it is often taken as a good translation.

https://www.quora.com/profile/Kingston-Tong
 
Wacha kujistress mkuu, nenda kafanye starehe.

Tumeumbwa ili tustarehe
 
Reactions: 511
Sasa hizo ni Auxiliary verb
Muulize aliyesema hivyo. Nimejibu kulingana na swali nililoulizwa maana nilivyojibu, akasema auxiliary verbs, nikauliza mbona swali lilisema verb yoyote? Sasa unaniuliza mimi as if nimesema "was" na "were" ni auxiliary verbs? Kama nimesema hivyo dondoa sehemu niliyosema hivyo.
 
Mzee huelewi hata tulikuwa tunaongelea nini. Na hiyo mada tumeshaimaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…