Biblia haijamilika inahitaji msaada wa nje, haiwezi kujisimamia

Biblia haijamilika inahitaji msaada wa nje, haiwezi kujisimamia

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
BIBLIA HAIJAMILIKA INAHITAJI MSAADA WA NJE, HAIWEZI KUJISIMAMIA,
  • Huruhusiwi kuongeza mke
  • Ndoa itavunjwa tu patapokuwa na ushahidi moja wenu anazini nje ya ndoa
  • Kutengana ni mpaka kifo ndipo unapoweza kuoa upya,

Haijalishi hata kama mwanaume ananyimwa tendo mwaka mzima, haruhusiwi kuongeza mke wala kumuacha mkewe, na kumbuka huyo ni mwanaume rijali kaumbwa na matamanio.

Nina uhakika wa asilimia 100 sheria za kikristo haziwezi kujisimamia ndio maana watu hukimbilia mahakamani ama viongozi wa kanisa hao hao waliofungisha ndoa kwa sheria za kikristo watapindisha sheria ili muachane
 
Humo Ndani Mpo wanaume wangapi? Na kama mwanaume ni wewe, nani amemuoa mwenzake ??.
Usianze kuibua maswali mengine jibu kwanza swali la post.

SHERIA ZA KIKRISTO ZINAWEZA KUTATUA TATIZO LA MWANAUME ANAENYIMWA UNYUMBA ?

Hakuna kuongeza mke, hakuna kuachana, suluhisho ni lipi kikristo ??
 
BIBLIA HAIJAMILIKA INAHITAJI MSAADA WA NJE, HAIWEZI KUJISIMAMIA

Nachojua no kwamba katika hali hii biblia huwa inashindwa kutatua tatizo, itabidi watu waende mahakamani ama viongozi wa kanisa wao wenyewe wapindishe sheria ili muachane kwasababu kuachana kikristo ni mpaka tu kuwe na usaliti ama kifo kiwatenganishe, Haijalishi hata kama mwanaume ananyimwa mwaka mzima haruhusiwi kuongeza mke wala kumuacha, kumbuka huyo ni mwanaume rijali kaumbwa na matamanio.
Unakua kama yule mfalme mwenye wake wengi na utajiri mwingi sulemani
 
Kama agano la kale na agano jipya imeshindwa kutatua tutafanya amendment tulete Agano la Kesho mambo yote tutaweka sawa hilo la ndoa linalosumbua litakua la kwanza kurekebishwa
 
Unategemea biblia na quran zikusaidie kutatua matatizo???!!! sasa ulipewa akili na ufahamu kwaajili gani?? kwenye biblia hiyo hiyo kuna mtu alikua na wake sijua 100 au 1000 na hakuadhibiwa chochote na mungu zaidi ya kuzawadiwa utajiri na hekima alafu kwenye biblia hiyo hiyo mnaambiwa muoe mke mmoja???!!! hao walioandika hivyo vitabu sijui walikuwa wanatumia vilevi gani
 
BIBLIA IKO WAZI HAPO.biblia inasema msinyimane tena ikaenda zaidi mwanamke hana mamlaka juu ya mwili wake na hvyo hvyo mwanaume pia.km kuna hali hyo ya kunyimana km unavyosema hapo juu basi hakuna ndoa hapo inavunjwa.talaka ipo kwajili ya uzinzi na ni ruksa kwa mujibu wa biblia.usitegemee ufanye figisu kwnye ndoa kisa hakuna talaka,talaka ipo
 
Nimekaa sana pwani niseme nimekulia pwani ktk watu hawaheshim ndoa ni waislam binti wa miaka 25 anaweza kua kaolewa mara tatu ama nne na anawatoto kila mmoja ana baba yake sasa sijui nani wako sahihi wazee wa kufa na kuzikana ama wazee wa acha kesho oa
 
Unategemea biblia na quran zikusaidie kutatua matatizo???!!! sasa ulipewa akili na ufahamu kwaajili gani?? kwenye biblia hiyo hiyo kuna mtu alikua na wake sijua 100 au 1000 na hakuadhibiwa chochote na mungu zaidi ya kuzawadiwa utajiri na hekima alafu kwenye biblia hiyo hiyo mnaambiwa muoe mke mmoja???!!! hao walioandika hivyo vitabu sijui walikuwa wanatumia vilevi gani
unafikiri ni akili yako pekee inatosha kutatua mtatizo yako bila ya kitu tofauti nje na wewe
 
Unategemea biblia na quran zikusaidie kutatua matatizo???!!! sasa ulipewa akili na ufahamu kwaajili gani?? kwenye biblia hiyo hiyo kuna mtu alikua na wake sijua 100 au 1000 na hakuadhibiwa chochote na mungu zaidi ya kuzawadiwa utajiri na hekima alafu kwenye biblia hiyo hiyo mnaambiwa muoe mke mmoja???!!! hao walioandika hivyo vitabu sijui walikuwa wanatumia vilevi gani
MKE halali wa sulemani alikuwa mmoja hao wengne ni tamaa zake
 
Back
Top Bottom