Biblia haijamilika inahitaji msaada wa nje, haiwezi kujisimamia

umeielewa mada ya mtoa mada?
 
UTAKUTA MWANAMKE AMEOLEWA NA WANAUME ZAIDI YA 6 NA KILA MTOTO NA BABAKE NA HUKO NDKO UISLAMU UMETAMALAKI
 
Jua kwanza kutofautisha kati ya urijali na tamaa. Tamaa sio kipimo cha urijali.
 
unafikiri ni akili yako pekee inatosha kutatua mtatizo yako bila ya kitu tofauti nje na wewe
Akili yangu pekee haitoshi ndio maana siko pekeyangu hapa duniani, ila biblia na quran na kitabu chochote cha kiimani haziwezi kutatua changamoto za binaadamu yeyote kwenye ulimwengu. Infact sijawahi kuona hata kanisa au msikiti uliojengwa kwa kusoma mafundisho ya quran ama bible
 
Ndoa itavunjwa tu pale patapokuwa na ushahidi kuna moja wenu anazini nje ya ndoa, FULLSTOP !!
 
Vumilia siku za maisha yako yote. Huo ndiyo msalaba wako uubebe kwa furaha isiyo na kifani
 
quran inasemaje kuhusu mwanamke aliyenyimwa unyumba mwaka mzima?
 
Unathibitishaje kwamba mwenza anakosa unyumba mwaka nzima?
 
Suluhisho ndilo hilo jamaa yangu... mahakamani au kupindisha sheria watu waachane.
 
Hizo ni sheria hazipo kwa kikristo

Mwanaume wa kikristo hata akinyimwa miaka 20 sio kigezo cha ndoa kuvunjika na ni marufuku kuongeza mke
Acha uongo wewe. Ndoa ni tendo.
Ndoa haitavunjika kama kukosekana kwa tendo kumetokana na ugonjwa. Lakini kama ni kwa makusudi na ikathibitishwa inaweza kuvunjika.
 
Acha uongo wewe. Ndoa ni tendo.
Ndoa haitavunjika kama kukosekana kwa tendo kumetokana na ugonjwa. Lakini kama ni kwa makusudi na ikathibitishwa inaweza kuvunjika.
Hizo ni sheria zako, kanisa haliwezi kuvunja ndoa kwa hio sababu ndio maana watu wanakimbilia mahakamani
 
Hizo ni sheria zako, kanisa haliwezi kuvunja ndoa kwa hio sababu ndio maana watu wanakimbilia mahakamani
Kanisa linatumia akili kusolve matatizo. Sio lazima kila kitu kipangiwe sheria...
Labda nikujulishe kwamba kanisa katoliki lina sheria za ndoa..kipo kitabu kabisa kinachoelezea nini maana ya ndoa na sababu zipi zinafanya ndoa kuwa batili.

Kama kweli unataka kupata majibu tafuta hicho kitabu ukisome.
Sheria zipo wazi. Sina uhakika na makanisa mengine.

NDOA NI TENDO LA NDOA.
 
Hakuna cha msaada humo ndio maana hata wakatoliki wanavunja ndoa mahakamani kwa kunyimwa unyumba
 
Hakuna cha msaada humo ndio maana hata wakatoliki wanavunja ndoa mahakamani kwa kunyimwa unyumba
Kuvunjika kwa ndoa ya kikatoliki lazima kwanza wawe wameanzia kwenye mahakama ya kanisa ndoa inakuwa imebatilishwa halafu ndio waende mahakama ya serikali.

Usiwe unabisha ili mradi tu ulete ubishi. Kubali kuelimika. Fanya research yako vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…