kiufupi ni kwamba sheria za kikristo hazina msaada hapo inabidi hata kanisa lianze kupindisha sheria.Kuvunjika kwa ndoa ya kikatoliki lazima kwanza wawe wameanzia kwenye mahakama ya kanisa ndoa inakuwa imebatilishwa halafu ndio waende mahakama ya serikali.
Usiwe unabisha ili mradi tu ulete ubishi. Kubali kuelimika. Fanya research yako vizuri.
Kufikia hapo hiyo ndoa itakosa uhalali wa kuendelea, itakufa
Zingekuwa hazina msaada ndoa sisingevunjika lakini tunaona zinavunjika.kiufupi ni kwamba sheria za kikristo hazina msaada hapo inabidi hata kanisa lianze kupindisha sheria.
Kwa maneno yaliyomyoka Yesu ndoa haivunjiki isipokuwa kwa usaliti wa kuzini nje ya ndoa
hizo sheria nyingine hazina utofauti na papa aliyeanza kuwapa baraka mashoga
Kuvunjika kwa ndoa ya kikatoliki lazima kwanza wawe wameanzia kwenye mahakama ya kanisa ndoa inakuwa imebatilishwa halafu ndio waende mahakama ya serikali.
Usiwe unabisha ili mradi tu ulete ubishi. Kubali kuelimika. Fanya research yako vizuri.
Kwenda mahakamani ni lazima kwasababu kuna mambo ya watoto na mali. Kanisa linaheshimu serikali na haliwezi kupoteza muda kupanga nani achukue mali ipi. Hiyo ni kazi ya serikali.Mnajibu swali juu juu sana.. hii ndio inawatisha watu.
Ndoa itakufa bila kwenda mahakamani ?
Hao wanavunja taratibu, haipo hivyo. Mahakama ya kanisa ipo.Ndoa ya katoliki inavunjwa bila hata kwenda kanisani. kata wana baraza la wazee.. hilo lina mamlaka la kuvunja ndoa ya kanisa lolote. Fomu yao wakikupa mahakama inasikiliza kesi na kuvunja ndoa
Hauijui biblia.Soma.Ina majibu yote.BIBLIA HAIJAMILIKA INAHITAJI MSAADA WA NJE, HAIWEZI KUJISIMAMIA,
- huruhusiwi kuongeza mke
- Ndoa itavunjwa tu patapokuwa na ushahidi moja wenu anazini nje ya ndoa
- Kutengana ni mpaka kifo ndipo unapoweza kuoa upya,
Haijalishi hata kama mwanaume ananyimwa tendo mwaka mzima, haruhusiwi kuongeza mke wala kumuacha mkewe, na kumbuka huyo ni mwanaume rijali kaumbwa na matamanio.
Nina uhakika wa asilimia 100 sheria za kikristo haziwezi kujisimamia ndio maana watu hukimbilia mahakamani ama viongozi wa kanisa hao hao waliofungisha ndoa kwa sheria za kikristo watapindisha sheria ili muachane
Sababu pekee inayofanya ndoa ivunjwe na mahakama ni kwa sababu ya uwepo hati ya kisheria ya Jamhuri. Cheti cha ndoa si mali ya kanisa au msikiti. Anayefungisha ndoa anatoa Cheti kwa niaba ya serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kubatilishwa hati hiyo itafanywa hukohuko.Hakuna cha msaada humo ndio maana hata wakatoliki wanavunja ndoa mahakamani kwa kunyimwa unyumba
Maneno yangu sio sheria na sio lazima uaminiacha kukwepa kwepa hayo maneno umetoa kwa utashi wako na sio maandiko
Mkuu una uhakika Suleiman hakupewa adhabu unajua mwisho kilichomkuta hadi yeye mwenyewe akakiri kuwa yote ni ubatili na kujilisha upepo, halafu hao kina Suleiman katika utawala wao waliua watu kadhaa lakini bado walipewa hekima na utajiri kwahiyo mnataka kusema kuua siyo dhambi kisa tu wao waliua, si kila matendo waliyofanya manabii basi ndio miongozo kwa watu wengine hayo yalikuwa maisha yao binafsi na siyo maagizo ya muumbaUnategemea biblia na quran zikusaidie kutatua matatizo???!!! sasa ulipewa akili na ufahamu kwaajili gani?? kwenye biblia hiyo hiyo kuna mtu alikua na wake sijua 100 au 1000 na hakuadhibiwa chochote na mungu zaidi ya kuzawadiwa utajiri na hekima alafu kwenye biblia hiyo hiyo mnaambiwa muoe mke mmoja???!!! hao walioandika hivyo vitabu sijui walikuwa wanatumia vilevi gani
HAKUNA NDOA KM HAKUNA TENDO.nn maana ya ndoa km hakuna tendo la ndoa?Ndoa itavunjwa tu pale patapokuwa na ushahidi kuna moja wenu anazini nje ya ndoa, FULLSTOP !!
Mtakuwa wote kwenye shida na raha. Sasa why kwenye shida inataka kumkwepq.RIP my wormate Shayo mkeo alithibitishwa hawezi kuzaa akakataa kuachwa au kuwa na mke mwenza ,RC Arusha wakakalia kesi mpaka umauti ukakufika
Kwa hizo hoja zako zote inaonyesha wazi ww huijuwi Biblia hata kidogo yani uelewa wako ni mdogo sana kwenye Biblia,kama haitoshi hicho ndio kitabu pekee kilichokamilika.BIBLIA HAIJAMILIKA INAHITAJI MSAADA WA NJE, HAIWEZI KUJISIMAMIA,
- Huruhusiwi kuongeza mke
- Ndoa itavunjwa tu patapokuwa na ushahidi moja wenu anazini nje ya ndoa
- Kutengana ni mpaka kifo ndipo unapoweza kuoa upya,
Haijalishi hata kama mwanaume ananyimwa tendo mwaka mzima, haruhusiwi kuongeza mke wala kumuacha mkewe, na kumbuka huyo ni mwanaume rijali kaumbwa na matamanio.
Nina uhakika wa asilimia 100 sheria za kikristo haziwezi kujisimamia ndio maana watu hukimbilia mahakamani ama viongozi wa kanisa hao hao waliofungisha ndoa kwa sheria za kikristo watapindisha sheria ili muachane
Mawazo ya wazinzi. Unataka Mungu abadili utaratibu kwaajili ya tamaa zakoBIBLIA HAIJAMILIKA INAHITAJI MSAADA WA NJE, HAIWEZI KUJISIMAMIA,
- Huruhusiwi kuongeza mke
- Ndoa itavunjwa tu patapokuwa na ushahidi moja wenu anazini nje ya ndoa
- Kutengana ni mpaka kifo ndipo unapoweza kuoa upya,
Haijalishi hata kama mwanaume ananyimwa tendo mwaka mzima, haruhusiwi kuongeza mke wala kumuacha mkewe, na kumbuka huyo ni mwanaume rijali kaumbwa na matamanio.
Nina uhakika wa asilimia 100 sheria za kikristo haziwezi kujisimamia ndio maana watu hukimbilia mahakamani ama viongozi wa kanisa hao hao waliofungisha ndoa kwa sheria za kikristo watapindisha sheria ili muachane
Nani kakudanganya kuna mwanaume anaweza kukaa mwaka mzima uraiani bila tendoNdoa siyo ya Kila mtu,kama unaona kabisa huwezi kuvumilia kasoro za mtu mwingine Bora kukaa singo,maana kujiingiza katika ndoa halafu uachike ni aibu kuliko usipojiingiza huko kabisa.
Sio biblia tu, bali hata quran.BIBLIA HAIJAMILIKA INAHITAJI MSAADA WA NJE, HAIWEZI KUJISIMAMIA,