Biblia imetamka laana Kali sana kwa wanaofanya Ibada za mwenge

Hivi akijitokeza ntu mmoja auibe tuone Kama watautengeneza mwingine au vipi..me naoanaga Kama mwenge ule Moto ni kuonyesha alama kuwa nchi una vikosi vya kijeshi vinalinda nchi.....bujibuji sema sisi tuna amani ingekuwa kwimgine huko watu tungerushiwa bomu kwenye hivi vilele vya sherehe za mwenge
 
Yaani hilo dude ni laana kubwa kwa nchi, ndo maana mtu unajiuliza kwa nini hii nchi haipigi hatua za kimaendeleo za maana iwapo ina rasilimali chungu nzima kuzidi nchi nyingi duniani?

Halafu ibada za kimiungu kama hizo zinafunga mafanikio ya watu wote wanaozaliwa wakiwa na identity ya nchi husika.

Haya ndo mambo watu wa Mungu wanatakiwa kuombea, kuzuia ibada za kimiungu na kimaagano juu ya nchi.
 
Bora uibiwe
 
Kenya nchi ndogo Sana lakini wako mbali Sana.
Makampuni mengi makubwa nchini ni ya Wakenya
 
Wanaofanya hizo ibada za mwenge si i watu wa dini nyingine tofauti na ukristo?

Sasa mbona unatumia vifungu vya biblia kuonesha dosari?

Muislam atakua sahihi kusema mkristo amepewa laana na Allah kwasababu anatumia misalaba kwenye ibada pamoja na kubatiza wakati vimekatazwa kwenye kuran?
 
Usitetee utumbafu, aliyeasisi Mwenge alikuwa Mkristo Julius k Nyerere
 
Mkuu hili swala linafanyika likiwa na sura ya kitaifa, ina maana eneo zima la Tanzania na watu wote wenye identity ya utanzania wameingizwa kwenye agano hilo......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…