Biblia imetamka laana Kali sana kwa wanaofanya Ibada za mwenge

Biblia imetamka laana Kali sana kwa wanaofanya Ibada za mwenge

Usitetee utumbafu, aliyeasisi Mwenge alikuwa Mkristo Julius k Nyerere

Mkuu hili swala linafanyika likiwa na sura ya kitaifa, ina maana eneo zima la Tanzania na watu wote wenye identity ya utanzania wameingizwa kwenye agano hilo......
Kulikua hakuna mantiki yeyote yakuweka vifungu vya biblia, mbona ni swala linaloweza kujadilika bila kuhusishwa na habari za dini
 
Ccm wanapenda sana usheitwani na uchawi, ukisoma historia ya Mwenge na Forojo Ganze mchawi mahiri Tanzania aliyefahamika kwa jina la Master utashangaa.
Yaani ni uchawi mtupu
Hili swala sio inshu ni ssm ,inshu ni kushikilia utamaduni wa kikoloni,haya Mambo yalilithiwa kutoka uingereza enzi hizo,Sasa nass tumeshikilia Hadi leo.sidhani hii inshu Kama itaisha leo,kwanza unatughalim Sana kila mwaka tunachangisha wananchi ,utaskia mchango wa mwenge!! tungebaki na Mambo ya muhimu Kama sherehe za Uhuru,mapinduz n.k.
 
Huyo mleta mada mwenyewe ni mfuasi wa shetani.
Juzi tu karithisishwa mikoba ya uchawi na bibi yake
 
Kwenye makabidhiano ya mwenge kati ya wakuu wa wilaya huwa kuna maneno yanatamkwa, yale maneno siyo ya kawaida yaani.......
 
Kulikua hakuna mantiki yeyote yakuweka vifungu vya biblia, mbona ni swala linaloweza kujadilika bila kuhusishwa na habari za dini
Swala limekaa kiroho, ndo maana unaona dini zinahusishwa.....
 
Wanaofanya hizo ibada za mwenge si i watu wa dini nyingine tofauti na ukristo?

Sasa mbona unatumia vifungu vya biblia kuonesha dosari?

Muislam atakua sahihi kusema mkristo amepewa laana na Allah kwasababu anatumia misalaba kwenye ibada pamoja na kubatiza wakati vimekatazwa kwenye kuran?
Unasemea waislamu waamini majini(mapepo/mashetani)?

Wakristo tumepewa jina moja , ambalo ni la mtoto wa MUNGU wa mbinguni ( JEHOVAH) na sio Allah - mungu mwezi ,
Jina hilo ni Yesu - jina ambalo majini wakiliyasikia hupiga mayowe yauchungu.
Jina ambalo linaponya magonjwa yaliyoshindikana.

Na nikukumbushe kuwa Ukristo sio dini,
Ukristo ni kuishi kwa Yesu kuwa ni mfano kwako

Napia Yesu mwenyewe alisha sema watakuja wakristo wa uongo, hawa ndio wana majina ya kikristo lakini anamkumbuka MUNGU pale anapopata tatizo tena kwa kumlaumu na hashiki kilicho kwenye biblia
 
Hili swala sio inshu ni ssm ,inshu ni kushikilia utamaduni wa kikoloni,haya Mambo yalilithiwa kutoka uingereza enzi hizo,Sasa nass tumeshikilia Hadi leo.sidhani hii inshu Kama itaisha leo,kwanza unatughalim Sana kila mwaka tunachangisha wananchi ,utaskia mchango wa mwenge!! tungebaki na Mambo ya muhimu Kama sherehe za Uhuru,mapinduz n.k.
Kama hujui historian kaa kimya
 
Hapo mwenge umeuona wapi kilaza huyu huyu hamjui maana ya siraha za moto , siraha za moto sio mwenge ni ujinga tu wa bujibuji

USSR
Tafsiri nyingine iko hapa

Tazama, ninyi nyote mwashao moto, mjifungiao hiyo mienge; endeni ninyi katika mwali wa moto wenu, na katikati ya mienge mliyoiwasha. Mtayapata haya kwa mkono wangu; mtalala kwa huzuni.
 
Wasioamini biblia nao wasemeje.

Ni ukichaa kupinga kila kitu. Hutaki mwenge hama nchi
 
View attachment 1966437Mwenge ni mungu wa Tanzania Ndio maana wanamuomba alete Amani na kuna sala maalum huitwa sala ya mwenge.

Hebu tuone kitabu cha Isaya 50:11 unavyosema.

Kumbe ndio maana tuna utajiri mkubwa wa rasilimali na mali zetu zinaliwa kirahisi na wageni

Katika maandiko matakatifu kuna mafundisho, maagizo na unabii
Kwa mafundisho tunajifunza, kwa maagizo au amri tunatekeleza na unabii unatimizwa

Sababu ya Mungu kutuleta duniani ni kuja kutimiza kazi zake. Kila mtu ni mtume wa Mungu kwa nafasi yake, na tukifuata Mungu alichotutuma kwa kuisikiliza sauti ya tutatimiza hata unabii uliowahi tabiriwa. Hata wewe hapo ulipo unaweza kukuta unatimiza unabii either kwa kujua au kutokujua

Kwa kuuwasha mwenge Nyerere alikua anatimiza unabii ulioandikwa kwamba
Isaya 9: 2
Watu wale waliokwenda katika giza Wameona nuru kuu; Wale waliokaa katika nchi ya uvuli wa mauti, Nuru imewaangaza.

Tukumbuke wakoloni waliotutawala waliwekeza sana Kilimanjaro kwenye huduma za kijamii kama mashule, mahospitali, mahoteli, kilimo, makanisa...... Nyerere hakuishia kuwasha tuu mwenge kama tendo la imani. Bali aliweza kuisambaza ile nuru kutoka Kilimanjaro kwa kuhakikisha vijana wa ule mkoa wanasambazwa nchi nzima ili kueneza kile walichokua nacho kupitia mashule na ajira. Na hii ilisaidia sana kuvunja ukabila, matabaka na kuleta upendo na umoja.
Huo ndio unabii wa mwenge wa uhuru

Mwenge wa Tanzania haukuwashwa ili utumike kama silaha au uabudiwe, bali uliwashwa kama tendo la imani katika kuleta nuru na matumani kwa nchi yetu na majirani

2Petro 1: 19 - 20
Nasi tuna lile neno la unabii lililo imara zaidi, ambalo, mkiliangalia, kama taa ing'aayo mahali penye giza, mwafanya vyema, mpaka kutakapopambazuka, na nyota ya asubuhi kuzuka mioyoni mwenu.

Mkijua neno hili kwanza, ya kwamba hakuna unabii katika maandiko upatao kufasiriwa kama apendavyo mtu fulani tu.

Ccm wanapenda sana usheitwani na uchawi, ukisoma historia ya Mwenge na Forojo Ganze mchawi mahiri Tanzania aliyefahamika kwa jina la Master utashangaa.

Yaani ni uchawi mtupu

Kwenye uzi Kama huu huwezi kuona comment ya Pascal Mayalla , jingalao, Bia yetu, USSR, johnthebaptist na wenzao maana uzi umewaumbua wanaoabudu mashetani

Laaana hiii

Mkuu hili swala linafanyika likiwa na sura ya kitaifa, ina maana eneo zima la Tanzania na watu wote wenye identity ya utanzania wameingizwa kwenye agano hilo......

Kwenye uzi Kama huu huwezi kuona comment ya Pascal Mayalla , jingalao, Bia yetu, USSR, johnthebaptist na wenzao maana uzi umewaumbua wanaoabudu mashetani

Kuna wengine umewasahau akina: Elitwege alias Etwege, Kamanda Asiyechoka mama D na binamu zao.
 
Back
Top Bottom